Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Uyo Morrison alipaswa kuwa jela, Yanga hatutaki uyo muhuni abaki uko uko makolo fc kwa wahuni wenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akili ninazo nyingi sana bahati mbaya wengi wenu hapa jukwaani IQ yenu ndogo sanaKumbe akili unazo ila huwa unajichetua
Injinia ana mpenda sana Ben,"Yanga wakae wakijua "
Hivi Kati ya Simba na Yanga nani anamjua Morrison vizuri
mnae huyo wakil msomiViongozi wa Yanga nao kuna wakati wanatuweka katika wakati mgumu sana mashabiki wa timu! Mfano usajili wa Haji Manara ulikuwa ni wa hovyo kabisa.
Kama ni kweli wamemsajili tena huyu mvuta bangi, basi wataonekana ni hopeless mara dufu. I wish hizo tetesi ziwe ni za uongo.
Naungana nawe Mkuu.Viongozi wa Yanga nao kuna wakati wanatuweka katika wakati mgumu sana mashabiki wa timu! Mfano usajili wa Haji Manara ulikuwa ni wa hovyo kabisa.
Kama ni kweli wamemsajili tena huyu mvuta bangi, basi wataonekana ni hopeless mara dufu. I wish hizo tetesi ziwe ni za uongo.
Kama sisi tuna ona balaa lake na tupo mbali vipi viongozi wanae ishi nae kila siku huko kambini na mazoeziniKuna wakati naweza kusema Simba kumuacha Bm3 kwa sababu ya nidhamu ni kukosea. Ni kutafuta tu namna ya bora ya kuishi nae, Japo ukweli ni kwamba mahali popote ktk eneo la kazi NIDHAMU ni kila kitu. Bila nidhamu kinachobaki ni vurugu na uwendawazimu mtupu.
Pamoja na hali yake Simba tafuteni namna bora ya kuishi nae, Morrison asiachwe.
Hii tetesi sio mpya na haujawahi kua kweli, Yanga sasa hivi ina viongozi serious usitegemee kumuona huyo kichaa Jangwani chukua hii comment yanguKwa kuwa yalifanyika kwa Manara aliyekuwa anatudhihaki na kutukebehi kwa kila aina sioni ajabu huyu naye kurudi.
Niuambie tu uongozi kama ni kweli nitasononeka sana aisee. [emoji853][emoji853]