Morrison aishtaki Yanga TFF akidai kusainishwa mkataba ambao haufahamu

Wafa maji hamuishi kutapatapa..

hio hio mbumbumbu fc ndio ina pesa ya kumchukua mchezaji wenu yoyote yule. ona sasa sababu ya umasikini wenu mnaishia kuwalazimisha wachezaji wasaini au mnasaini badala yao na huku wachezaji hawajui , waaacheni wafuate asali, pesa inaongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupata comedy kama hizi, bonyeza *000#
 
Hilo "gap" lilipotengenezwa hawakuwa sehemu ya timu? Ndege mtaziangalia kwa macho kodo tu!
 
Morrison kakutieni dole na mnaendelea kulikatikia
 
Huyu mghana katuweza kweli;ndo taabu ya kusajili bila kufanya vetting za tabia za wachezaji.
Yanga walionywa kuwa huyu mjinga ni tapeli wao wakafurahia sarakasi za kutembea juu ya mpira,bure kabisa utopolo wamebakia kuilaumu Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…