kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,183
- 1,619
huyu analeta allegations za kimihemko ya kimbumbumbuAmeclaim masuala ya lugha kwani?..sipo aware na claims alizozitoa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu analeta allegations za kimihemko ya kimbumbumbuAmeclaim masuala ya lugha kwani?..sipo aware na claims alizozitoa mkuu
Wafa maji hamuishi kutapatapa..Michezo hii wanafanya mbumbumbu fc waki mtumia mwandish Salehe Ally aliye onekana kwenye ile video akiwa anamhoji Morrison ndani ya Kambi ya Yanga.
Kinacho onekana Mbumbumbu fc hawajiamini sasa wanajaribu kucheza michezo ya nje ya uwanja jambo ambalo hawafahamu Yanga ni serikali kamili hakuna utakalo lifanya kuhujumu Timu ya wananchi ambao wako kila kona ya nchi lisifahamike. Mbumbumbu fc tulieni hakuna namnayoyote mtakayofanya kuzuia wakati yanga wanajambo Lao.
we ndio mbumbumbu mkataba anaingia na klabu au mdhaminiKwani mkataba haupo? Kweli wewe mbumbumbu
Tulipowaambia alikuwa anaongoza magenge ya uhalifu mlituona wajinga sasa alipowatolea kisu makomandoo ndio akili zikawarudiaHuyu mghana katuweza kweli;ndo taabu ya kusajili bila kufanya vetting za tabia za wachezaji.
Kupata comedy kama hizi, bonyeza *000#Kiungo mshambuliaji wa Young Africans, Bernard Morrison ameishtaki klabu hiyo TFF, akidai kutotambua mkataba mpya wa miaka 2 unaodaiwa alisaini kwa makubaliano maalum.
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya mwenyekiti wake, Elias Mwanjala imeanza kusikiliza kesi hiyo katika viunga vya Shirikisho hilo.
Mwanjala amesema mchezaji huyo amewasilisha ushahidi wake katika kesi hiyo ambayo uamuzi unaweza kutolewa leo Alkhamis, kutegemeana na usikilizaji wa pande zote, mashahidi na kamati kuridhishwa na ushahidi utakaowasillishwa.
Amesema Morrison amefungua kesi hiyo mwenyewe na alifika kwa ajili ya utetezi wa hoja zake huku Young Africans ikiwakilishwa na viongozi mbalimbali akiwemo mwanasheria ambaye pia ni kaimu katibu mkuu, Simon Patrick na makamu mwenyekiti, Fredrick Mwakalebela.
“Sisi kazi yetu ni kusikiliza na kupitia ushahidi ambao pande zote mbili umewasilisha kwetu. Kama hautoshi, basi tutawapa muda zaidi, lakini kama tumeridhishwa tutatoa uamuzi, lakini siyo leo (jana) kwani kuna malalamiko mengi ukiachana na hayo,” amesema Mwanjala.
Amesema kuwa mbali ya kesi hiyo, kamati yake pia inasililiza malalamiko yaliyowasilishwa na Young Africans dhidi ya Simba ikiituhumu kufanya mazungumzo na Morrison kinyume na utaratibu, ikidai amekuwa akishawishiwa na mabingwa hao ajiunge nao.
Hilo "gap" lilipotengenezwa hawakuwa sehemu ya timu? Ndege mtaziangalia kwa macho kodo tu!Kwa taarifa tu huko tff alipoenda nasi pia tuliitwa tukaonesha documents zetu tff wakaamuru kijana aache ujinga mara moja arudi kazini na jana alikuwepo mazoezini na yupo kwenye safari ya kuwafuata biashara united kocha kampa masharti km anataka kusalia kwenye kikosi cha kwanza kijana kaomba radhi kuna wapuuzi tu wachache walikuwa wanamdanganya danganya na tarehe 12 in Shaa Allah atakuwepo bila kumsahau kapten papy kabamba nae karejea tafuteni pakutokea!
Morrison kakutieni dole na mnaendelea kulikatikiaMichezo hii wanafanya mbumbumbu fc waki mtumia mwandish Salehe Ally aliye onekana kwenye ile video akiwa anamhoji Morrison ndani ya Kambi ya Yanga.
Kinacho onekana Mbumbumbu fc hawajiamini sasa wanajaribu kucheza michezo ya nje ya uwanja jambo ambalo hawafahamu Yanga ni serikali kamili hakuna utakalo lifanya kuhujumu Timu ya wananchi ambao wako kila kona ya nchi lisifahamike. Mbumbumbu fc tulieni hakuna namnayoyote mtakayofanya kuzuia wakati yanga wanajambo Lao.
Yanga walionywa kuwa huyu mjinga ni tapeli wao wakafurahia sarakasi za kutembea juu ya mpira,bure kabisa utopolo wamebakia kuilaumu Simba.Huyu mghana katuweza kweli;ndo taabu ya kusajili bila kufanya vetting za tabia za wachezaji.