GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni kama nyie jinsi aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema ( na ipo YouTube ) kuwa Mashabiki wa Yanga SC ni kama Nyani, Mbwa na Sokwe.Aliyewaita mbumbumbu wala hakukosea.
Upuuzi uliosema timu zote za kariakoo unazo, hata yanga walikuwa hawana shida na morrison sema walitaka kumsajili ili kukomoa simbaYaani vitu ambavyo washabiki wa Simba wanashabikia msimu huu hadi aibu. Kwahiyo hapo mnaona mmeweeeeza wenyewe. Msimu mliopita si mlikuwa nae Morrison, aliwasaidia Nini?
Yanga walitaka kimchukua Morison sababu ya revenge tu ila sio kipaumbele Chao kabisa na isitoshe kwann Simba mnachezeshwa gwaride kwenye usajili na Yanga hivi? Alafu mnafatisha tu wakati wenzenu wanawaingiza Chaka. Simba kiuhalisia hamumuitaji Morison ila Kwa kuwa Yanga kawatisha kumsajili mmejaa kingi mmevaba, poleni sana.
Leo baada ya kusikia anabakia Simba SC ndiyo yanawatokeni 'Matapishi' haya? Na bado.....!!!Upuuzi uliosema timu zote za kariakoo unazo, hata yanga walikuwa hawana shida na morrison sema walitaka kumsajili ili kukomoa simba
Haya 'Matapishi' kutoka kwa Mazuzu wa Yanga SC wenye Akili tuliyategemea.Yaani vitu ambavyo washabiki wa Simba wanashabikia msimu huu hadi aibu. Kwahiyo hapo mnaona mmeweeeeza wenyewe. Msimu mliopita si mlikuwa nae Morrison, aliwasaidia Nini?
Yanga walitaka kimchukua Morison sababu ya revenge tu ila sio kipaumbele Chao kabisa na isitoshe kwann Simba mnachezeshwa gwaride kwenye usajili na Yanga hivi? Alafu mnafatisha tu wakati wenzenu wanawaingiza Chaka. Simba kiuhalisia hamumuitaji Morison ila Kwa kuwa Yanga kawatisha kumsajili mmejaa kingi mmevaba, poleni sana.
Umempa za uso . Nadhani hatorudia.Hawa watu Wana matatizo makubwa kwenye bongo zao.Angekuwa siyo wa maana Kwenu akina Haji Manara, Mohammed Bhinda na Injinia Hersi Said wangekuwa kutwa Wanamuita pale Slip Way na kumpa Ahadi nyingi kama akirejea Yanga SC?
Huna unachokijua na uwe Unanyamaza tu. Siyo nyie mliokuwa mkifurahi mliposikia kuwa Morisson anarejea Yanga SC? Yaani leo baada ya kusikia hapa kuwa Simba SC imembakisha ndiyo mnasema wa nini?
Wanafiki na Majuha wakubwa nyie.
Wakili msomi BMUpuuzi mtupu, who is Morrison by the way?
Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe. Zigo lenu hiloKama ulidhani Simba ni paka basi andika umeumia, Simba imefanikiwa kumbakisha Morrison ambaye alikuwa tayari amesainishwa mkataba Leo na yanga, kikao kilichofanyika usiku wa Leo na kumalizika usiku huu kikiongozwa na mamafia wa usajili Simba kiliamua kwa kauli moja Morrison aendelee kutumikia klabu, Morrison alieleza yake ya moyoni na uongozi ukaeleza yao na hatimaye wamekubali kuanza moja, wale waliomsainisha mkataba Morrison wameliwa mzigo wao.
Kwa kweli penye miti hakuna wajenzi, mafia wa Simba walikula timing baada ya kuona Yanga wamemwaga mpunga na kumpa kandarasi ya miaka 2 wakaona kwa vile bado mkataba wao na Morrison haujakwisha, wamekaa naye Leo usiku na kuyamaliza.
Morrison aliwaambia viongozi hao kuwa anaipenda sana Simba, alilazimika kurudi yanga kwa sababu hakuwa na jinsi lkn anaipenda Simba from the bottom of his heart na ndio maana aliomba mashabiki wampe jezi 100 azipeleke kwao akaage.
Simba walimwambia hawakutaka kumuaga kwa sababu bado wana mipango naye, poleni sana yanga, nyie endeleeni na Chico Ushindi tu, Morrison amekubali kubaki Simba.
Hapo kwenye kila mmoja kueleza ya moyoni ndo ulipoharibu..!!! Hakuna umafia hapo ni madukuduku tu ya moyoni ambayo mwana kayamwaga na mmekubaliKama ulidhani Simba ni paka basi andika umeumia, Simba imefanikiwa kumbakisha Morrison ambaye alikuwa tayari amesainishwa mkataba Leo na yanga, kikao kilichofanyika usiku wa Leo na kumalizika usiku huu kikiongozwa na mamafia wa usajili Simba kiliamua kwa kauli moja Morrison aendelee kutumikia klabu, Morrison alieleza yake ya moyoni na uongozi ukaeleza yao na hatimaye wamekubali kuanza moja, wale waliomsainisha mkataba Morrison wameliwa mzigo wao.
Kwa kweli penye miti hakuna wajenzi, mafia wa Simba walikula timing baada ya kuona Yanga wamemwaga mpunga na kumpa kandarasi ya miaka 2 wakaona kwa vile bado mkataba wao na Morrison haujakwisha, wamekaa naye Leo usiku na kuyamaliza.
Morrison aliwaambia viongozi hao kuwa anaipenda sana Simba, alilazimika kurudi yanga kwa sababu hakuwa na jinsi lkn anaipenda Simba from the bottom of his heart na ndio maana aliomba mashabiki wampe jezi 100 azipeleke kwao akaage.
Simba walimwambia hawakutaka kumuaga kwa sababu bado wana mipango naye, poleni sana yanga, nyie endeleeni na Chico Ushindi tu, Morrison amekubali kubaki Simba.
Nyani wa pori la Utopolo ni wepesi sana kudanganyikaa. Hilo zoga lenu Simba walishamtema kitambo, endeleeni kuokota makombo' ya SimbaMarrison kaitumia yanga kupigiwa magoti na simba. Bado simba wanaweweseka na manara. Marrison hakufaa kurudi yanga. Afadhali mmeubeba huo mzigo wenu usio na nidhamu
Naam asili yetu hapo jangwaniMAKOLOOO...mpo vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2277014
Nyani wa pori la Utopolo ni wepesi sana kudanganya. Hilo zoga lenu Simba walishamtema kitambo, endeleeni kuokota makombo' ya Simba
Wapuuzi kama hao ( hawa ) huwa siwacheleweshi na uzuri ni kwamba Wananijua vizuri tu.Umempa za uso . Nadhani hatorudia.Hawa watu Wana matatizo makubwa kwenye bongo zao.
Hawa mashabiki wa uto Wana upuuzi upuuzi mwingiNi kama nyie jinsi aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema ( na ipo YouTube ) kuwa Mashabiki wa Yanga SC ni kama Nyani, Mbwa na Sokwe.
Hivyo hivyo Haji Manara akiwa anafanya Mahojiano na EFM ( alipokuwa Simba SC ) alisema kuwa wenye Akili Timamu Yanga SC nzima ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi Mzee Manara akimaanisha kuwa waliobakia / mliobakia Wote ni Wendawazimu ( Matahaira ) tupu wakiongozwa nawe 'Senior' wao.
Kama Simba SC wamekubaliana nae na Wote wamekunjuka yao ya Moyoni na Kumalizana ni vyema tu aendelee kubakia Simba SC na tutajua ni wapi tutamtumia.hii itakuwa habari njema sana kwa wananchi kama kweli morrison atabaki huko huko simba!