GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni kama nyie jinsi aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema ( na ipo YouTube ) kuwa Mashabiki wa Yanga SC ni kama Nyani, Mbwa na Sokwe.Aliyewaita mbumbumbu wala hakukosea.
Hivyo hivyo Haji Manara akiwa anafanya Mahojiano na EFM ( alipokuwa Simba SC ) alisema kuwa wenye Akili Timamu Yanga SC nzima ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi Mzee Manara akimaanisha kuwa waliobakia / mliobakia Wote ni Wendawazimu ( Matahaira ) tupu wakiongozwa nawe 'Senior' wao.