Morrison akubali kubaki Simba, umafia wafanyika usiku huu, Yanga hawaamini macho yao

jamaa mmoja hivi mwenye sura ya ajabu anaependa kuvua nguo mbele ya hadhara ya watu.
Gennare Gattuso alishawahi kubaki na chupi tu akishangilia ubingwa wa AC Milan na baadaye Italian national team na mkafurahia vituko vyake, ila Morrison mnamkandia.

Au ndo ile akifanya mzungu ni sahihi, akifanya Mmatumbi si sahihi?
 
Mwaka huu hakucheza Simba? Amewasaidia nn?
 
Revenge!? Hahahaaaaa, mmefeli Sasa, mnao Lia Lia humu.

Yanga inajua Morrison Ni mchezaji mzuri na mnamhitaji kwa mechi pia za kimataifa. Kusema Ni revenge Ni dua la kuku. Hata Nabi alimhitaji Sana. Hakuna revenge ya kusajili mchezaji km Hana manufaa. Kwamba Yanga wamsainishe mtu wamlipe na mishahara kwasababu ya revenge. Si kweli. Una mawazo ya kitoto sana.

Km taarifa hii Ni ya kweli basi Simba wako SAHIHI Sana kumbakisha Morrison. Ni kuishi nae kwa shida zake.Ana msaada..

Km Ni kweli basi poleni Sana Utopolo.
 
UTAMSIKIA kwenu mmoja amelewa komoni anakuja humu anasema Morrison Hana popote baada ya kumkosa. Utopolo wamepanga mpaka kikosi na kumweka ndani, hii ikionyesha Ni mtu muhimu kwao wakimpata.
 
Hizi ni habari za kujitungia tu kwani huyu alishatemwa siku nyingi ndiyo maana walimtakia mafanikio mema huko aendako,wanaendelea kumlipa mshahara wake kwa kuheshimu mkataba tu. Walishasema kuwa hayupo kwenye mpango wao tena,nashangaa huyu aliyetunga huu uzushi alikuwa na lengo gani.
 
Na da babra amezira hamtaki morison 😂
 
Msemaji wa Yanga ni Bumbuli,na mara zote anapoulizwa kuhusu Morisson kurudi Yanga anajibu kuwa Morison ni mchezaji wa Simba, bado ana mkataba na Simba, na wao (Yanga) wanaheshimu hilo. Hilo la Morison kukutana na kina Hersi SlipWay sio lazima iwe inahusiana na suala la Morison kwenda Yanga,ni mchecheto wako tu. SlipWay sio ofisi za Yanga. Kwani unadhani Morison alipohamia Simba ndo anakua adui wa watu waliomleta Tanzania?
 
Upuuzi uliosema timu zote za kariakoo unazo, hata yanga walikuwa hawana shida na morrison sema walitaka kumsajili ili kukomoa simba
Uikomoe Simba kwamba mshahara mtakuwa hammlipi?[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…