Morrison akubali kubaki Simba, umafia wafanyika usiku huu, Yanga hawaamini macho yao

Morrison akubali kubaki Simba, umafia wafanyika usiku huu, Yanga hawaamini macho yao

jamaa mmoja hivi mwenye sura ya ajabu anaependa kuvua nguo mbele ya hadhara ya watu.
Gennare Gattuso alishawahi kubaki na chupi tu akishangilia ubingwa wa AC Milan na baadaye Italian national team na mkafurahia vituko vyake, ila Morrison mnamkandia.

Au ndo ile akifanya mzungu ni sahihi, akifanya Mmatumbi si sahihi?
 
Kama ulidhani Simba ni paka basi andika umeumia, Simba imefanikiwa kumbakisha Morrison ambaye alikuwa tayari amesainishwa mkataba Leo na yanga, kikao kilichofanyika usiku wa Leo na kumalizika usiku huu kikiongozwa na mamafia wa usajili Simba kiliamua kwa kauli moja Morrison aendelee kutumikia klabu, Morrison alieleza yake ya moyoni na uongozi ukaeleza yao na hatimaye wamekubali kuanza moja, wale waliomsainisha mkataba Morrison wameliwa mzigo wao.

Kwa kweli penye miti hakuna wajenzi, mafia wa Simba walikula timing baada ya kuona Yanga wamemwaga mpunga na kumpa kandarasi ya miaka 2 wakaona kwa vile bado mkataba wao na Morrison haujakwisha, wamekaa naye Leo usiku na kuyamaliza.

Morrison aliwaambia viongozi hao kuwa anaipenda sana Simba, alilazimika kurudi yanga kwa sababu hakuwa na jinsi lkn anaipenda Simba from the bottom of his heart na ndio maana aliomba mashabiki wampe jezi 100 azipeleke kwao akaage.

Simba walimwambia hawakutaka kumuaga kwa sababu bado wana mipango naye, poleni sana yanga, nyie endeleeni na Chico Ushindi tu, Morrison amekubali kubaki Simba.
Mwaka huu hakucheza Simba? Amewasaidia nn?
 
Yaani vitu ambavyo washabiki wa Simba wanashabikia msimu huu hadi aibu. Kwahiyo hapo mnaona mmeweeeeza wenyewe. Msimu mliopita si mlikuwa nae Morrison, aliwasaidia Nini?

Yanga walitaka kumchukua Morison sababu ya revenge tu ila sio kipaumbele Chao kabisa na isitoshe kwann Simba mnachezeshwa gwaride kwenye usajili na Yanga hivi? Alafu mnafatisha tu wakati wenzenu wanawaingiza Chaka. Simba kiuhalisia hamumuitaji Morison ila Kwa kuwa Yanga kawatisha kumsajili mmejaa kingi mmevaba, poleni sana.
Revenge!? Hahahaaaaa, mmefeli Sasa, mnao Lia Lia humu.

Yanga inajua Morrison Ni mchezaji mzuri na mnamhitaji kwa mechi pia za kimataifa. Kusema Ni revenge Ni dua la kuku. Hata Nabi alimhitaji Sana. Hakuna revenge ya kusajili mchezaji km Hana manufaa. Kwamba Yanga wamsainishe mtu wamlipe na mishahara kwasababu ya revenge. Si kweli. Una mawazo ya kitoto sana.

Km taarifa hii Ni ya kweli basi Simba wako SAHIHI Sana kumbakisha Morrison. Ni kuishi nae kwa shida zake.Ana msaada..

Km Ni kweli basi poleni Sana Utopolo.
 
Haya 'Matapishi' kutoka kwa Mazuzu wa Yanga SC wenye Akili tuliyategemea.

Kama umekiri kuwa Yanga SC mlimtaka Morrison ili Kuwakomoa ( Kuwajambisha ) Simba SC kwani Simba SC nao ( nayo ) ikijibu hayo Mapigo kuna tatizo?

Wana Yanga SC acheni Unafiki ukweli ni kwamba hii Taarifa imewauma ila mnazuga tu hapa kwa Sizitaki Mbichi hizi.

Tulishawaambieni kuwa Injinia Hersi Said ni Mtoto wa Mjini na anawaingizeni Chaka kwa Kuwadanganyeni Kutwa na Sajili zake za Kipropaganda na Kimihemko hamsikii.

Alianza kwa Aziz K kisha kwa Bernard Morrison je, hawa Wote tayari wamesinya Yanga SC au? Ndiyo maana wasio na Akili wengi wako Jangwani.
UTAMSIKIA kwenu mmoja amelewa komoni anakuja humu anasema Morrison Hana popote baada ya kumkosa. Utopolo wamepanga mpaka kikosi na kumweka ndani, hii ikionyesha Ni mtu muhimu kwao wakimpata.
 
Alafu wewe jamaa ni punga kweli kweli, Kama ameshasaini yanga iyo ishatoka labda Kama alikuwa ajasaini, lakini Kama alikuwa amshasaini Ina maana akuna namna simba imrubuni tena kusaini kwao kwa maana ata mkataba wake umebakisha mwez 1 kumalizika ivyo sidhani Kama anaweza kusaini timu 2 labda Kama ataki tena kucheza mpira Tanzania, Simba Kama walizubaa kumuongezea mkataba na yanga wakamuwai iyo imekula kwenu hizo habari za umafia endeleeni nazo mwisho wa siku itajulikana mbele ya safari
Hizi ni habari za kujitungia tu kwani huyu alishatemwa siku nyingi ndiyo maana walimtakia mafanikio mema huko aendako,wanaendelea kumlipa mshahara wake kwa kuheshimu mkataba tu. Walishasema kuwa hayupo kwenye mpango wao tena,nashangaa huyu aliyetunga huu uzushi alikuwa na lengo gani.
 
Yaani vitu ambavyo washabiki wa Simba wanashabikia msimu huu hadi aibu. Kwahiyo hapo mnaona mmeweeeeza wenyewe. Msimu mliopita si mlikuwa nae Morrison, aliwasaidia Nini?

Yanga walitaka kumchukua Morison sababu ya revenge tu ila sio kipaumbele Chao kabisa na isitoshe kwann Simba mnachezeshwa gwaride kwenye usajili na Yanga hivi? Alafu mnafatisha tu wakati wenzenu wanawaingiza Chaka. Simba kiuhalisia hamumuitaji Morison ila Kwa kuwa Yanga kawatisha kumsajili mmejaa kingi mmevaba, poleni sana.
Na da babra amezira hamtaki morison 😂
 
Angekuwa siyo wa maana Kwenu akina Haji Manara, Mohammed Bhinda na Injinia Hersi Said wangekuwa kutwa Wanamuita pale Slip Way na kumpa Ahadi nyingi kama akirejea Yanga SC?

Huna unachokijua na uwe Unanyamaza tu. Siyo nyie mliokuwa mkifurahi mliposikia kuwa Morisson anarejea Yanga SC? Yaani leo baada ya kusikia hapa kuwa Simba SC imembakisha ndiyo mnasema wa nini?

Wanafiki na Majuha wakubwa nyie.
Msemaji wa Yanga ni Bumbuli,na mara zote anapoulizwa kuhusu Morisson kurudi Yanga anajibu kuwa Morison ni mchezaji wa Simba, bado ana mkataba na Simba, na wao (Yanga) wanaheshimu hilo. Hilo la Morison kukutana na kina Hersi SlipWay sio lazima iwe inahusiana na suala la Morison kwenda Yanga,ni mchecheto wako tu. SlipWay sio ofisi za Yanga. Kwani unadhani Morison alipohamia Simba ndo anakua adui wa watu waliomleta Tanzania?
 
Upuuzi uliosema timu zote za kariakoo unazo, hata yanga walikuwa hawana shida na morrison sema walitaka kumsajili ili kukomoa simba
Uikomoe Simba kwamba mshahara mtakuwa hammlipi?[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom