We jamaa ukiandikaga upupu wako kuhusu Yanga huwa wala hukosei kosei herufi na wala huandiki kwa herufi kubwaUkizoea tabia za uongo hata mkeo akikuzalia mtoto utahisi wa mdogo wako ama rafiki yako
Yanga wameandika waraka wanamudhibu Morrison kwa kufanya mahojiano na vyombo vyahabari
Wameandika wana mkataba na Morrison mpaka 2022
Huu ni uhuni. Msikilizeni Morrison anavyosema wazi mkataba wake unaisha mwezi ujao
Baadaya kucheza na kumaliza mkataba wakwanza Yanga wamemwongezea miezi sita byie mbadu mnasema miaka miwilj kwanza huu n uhuni semeni ukweli tu
Na kama ndivyo naomba niwambie wana Yanga, Morrison anaelekea msimbazi mda sio mrefu. All the best
Yanga waonyeshe mkataba wa Morrison kama wanajiamini
========
Hapo nyumbu wote watakwenda kunywa maji hutoona hata nyumbu mmoja ataesalia ha ha haKama mbumbumbu mna amini Morrison mkataba wake umekwisha na yanga ni waongo anzeni nae mazungumzo ya usajili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani amekuandikia huu mwandiko mkuu??Ukizoea tabia za uongo hata mkeo akikuzalia mtoto utahisi wa mdogo wako ama rafiki yako