Morrison aliongezwa miezi sita, si miaka miwili kama mnavyodanganywa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ukizoea tabia za uongo hata mkeo akikuzalia mtoto utahisi wa mdogo wako ama rafiki yako

Yanga wameandika waraka wanamudhibu Morrison kwa kufanya mahojiano na vyombo vyahabari

Wameandika wana mkataba na Morrison mpaka 2022

Huu ni uhuni. Msikilizeni Morrison anavyosema wazi mkataba wake unaisha mwezi ujao

Baadaya kucheza na kumaliza mkataba wakwanza Yanga wamemwongezea miezi sita byie mbadu mnasema miaka miwilj kwanza huu n uhuni semeni ukweli tu

Na kama ndivyo naomba niwambie wana Yanga, Morrison anaelekea msimbazi mda sio mrefu. All the best

Yanga waonyeshe mkataba wa Morrison kama wanajiamini

========

Maisha yanaenda kasi! Juzi tu walikuwa wanalitumia goli lake kama kichaka cha kupunguza machungu ya timu yao kufanya vibaya, leo Yanga wanamuita Morrison kuwa ni mtu mwenye nia ovu na mfanya hujuma, daah!
 
Ukizoea tabia za uongo hata mkeo akikuzalia mtoto utahisi wa mdogo wako ama rafiki yako

Yanga wameandika waraka wanamudhibu Morrison kwa kufanya mahojiano na vyombo vyahabari

Wameandika wana mkataba na Morrison mpaka 2022

Huu ni uhuni. Msikilizeni Morrison anavyosema wazi mkataba wake unaisha mwezi ujao

Baadaya kucheza na kumaliza mkataba wakwanza Yanga wamemwongezea miezi sita byie mbadu mnasema miaka miwilj kwanza huu n uhuni semeni ukweli tu

Na kama ndivyo naomba niwambie wana Yanga, Morrison anaelekea msimbazi mda sio mrefu. All the best

Yanga waonyeshe mkataba wa Morrison kama wanajiamini

========

We jamaa ukiandikaga upupu wako kuhusu Yanga huwa wala hukosei kosei herufi na wala huandiki kwa herufi kubwa
 
Kama hana mkataba na Yanga basi msajilini muone kitakachotokea

Ille tarehe 8/3/2020 bado inawauma sana
Morrison.jpg
 
Yaani mbumbumbu wanachekesha sana. Morrison alivyosema mkataba wake unaisha mwezi ujao wamefurahi sana wanasema kwa kuwa mchezaji ametamka yeye mwenyewe hivyo itakuwa kweli, ila ukiwaambia ni mweli wanamtaka Morrison na walimhonga hadi dola elfu 5 kwa sababu mchezaji mwenyewe ndiye aliyesema wanasema si kweli!
 
Ukizoea tabia za uongo hata mkeo akikuzalia mtoto utahisi wa mdogo wako ama rafiki yako

Yanga wameandika waraka wanamudhibu Morrison kwa kufanya mahojiano na vyombo vyahabari

Wameandika wana mkataba na Morrison mpaka 2022

Huu ni uhuni. Msikilizeni Morrison anavyosema wazi mkataba wake unaisha mwezi ujao

Baadaya kucheza na kumaliza mkataba wakwanza Yanga wamemwongezea miezi sita byie mbadu mnasema miaka miwilj kwanza huu n uhuni semeni ukweli tu

Na kama ndivyo naomba niwambie wana Yanga, Morrison anaelekea msimbazi mda sio mrefu. All the best

Yanga waonyeshe mkataba wa Morrison kama wanajiamini

========

Nani amekuandikia huu mwandiko mkuu??
 
Back
Top Bottom