Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwa hiki kikosi cha Yanga cha msimu huu! Huyo Morrison ni tone tu la maji kwenye bahari!! Adhabu ya tatehe 23 Oktoba, itabakia palepale.Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imemfungia michezo mitatu na kumtoza faini ya Shilingi 1,000,000 mchezaji wa timu ya Yanga SC, Bernald Morrison kwa kumkanyaga kwa makusudi mchezaii wa Azam, Lusajo Mwaikenda aliyekuwa ameanguka chini wakati wa harakati za kugombea mpira.
Sasa ni rasmi ataukosa mchezo wa watani wa jadi Octoba 23, 2022.
Imagine hiyo nafasi yake anayocheza, tayari ina wachezaji wengine wasiopungua watatu!! Tuisila Kisinda, Denis Nkane, na Jesus Moloko!!