Morrison apigwa “Ban” ya Mechi 3

Morrison apigwa “Ban” ya Mechi 3

Kwa hiki kikosi cha Yanga cha msimu huu! Huyo Morrison ni tone tu la maji kwenye bahari!! Adhabu ya tatehe 23 Oktoba, itabakia palepale.

Imagine hiyo nafasi yake anayocheza, tayari ina wachezaji wengine wasiopungua watatu!! Tuisila Kisinda, Denis Nkane, na Jesus Moloko!!

Si tunachojua kafungiwa hayo ya tone sjui mtajua wenyewe
 
Nakumbuka siku moja wakati bado i yupo Simba,
akaamua kuvua bukta na kuzunguka uwanja akiwa na chupi aina ya VIP,,

Aibu nilikuwa naona mie huku kwenye Luninga

Nabi alimfata akamwambia acha ujinga vaa nguo akamjibu kwa dharau sana LEO YUPO CHINI YA NABI HUYO HUYO ANADHANI NABI KASAHAU
 
Huwa simuelewi kabisa huyu jamaa,atakua anashida mahali
 
Hatuwezi kulea uhuni kwenye mchezo wa mpira wa miguu, upuuzi wake akafanyie kwao na akirudia tena anapigwa life ban.
 
Mechi 3 ama Miezi 3?

Kama ni mechi 3 mbona chache sana sababu huyu anaisaidia Utopolo anapopangwa kupunguza magoli ya kufunga.
 
Back
Top Bottom