Kwa hiki kikosi cha Yanga cha msimu huu! Huyo Morrison ni tone tu la maji kwenye bahari!! Adhabu ya tatehe 23 Oktoba, itabakia palepale.
Imagine hiyo nafasi yake anayocheza, tayari ina wachezaji wengine wasiopungua watatu!! Tuisila Kisinda, Denis Nkane, na Jesus Moloko!!
Nakumbuka siku moja wakati bado i yupo Simba,
akaamua kuvua bukta na kuzunguka uwanja akiwa na chupi aina ya VIP,,
Aibu nilikuwa naona mie huku kwenye Luninga
Kwani wanaomtetea unawaonaje,wazima?Arudishwe kwao mapema kabla hajaigharimu timu. Kuna mechi nilihisi ni mwehu anajiangusha anabebwa kwny machela anafika nje anarudi ndani mpk waliombeba ikabidi wacheke ila ile ilikua ni ujinga.
Ngoja siku amkite Hersi bisibisi ya shingo ndiyo watajua kuwa wamesajili sakala.Kwani wanaomtetea unawaonaje,wazima?