Msamehe bure, shule ndogo inaonekana..plagiarism ktk kuchezea mpira....!?? Zidane na Ronaldinho Gaucho wangewashtaki wachezaji kibaooo[emoji383][emoji383]Sorry mkuu, unafahamu maana ya plagiarism na namna inavyofanya kazi kisheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
unaonekana umejiunga jf muda mrefu ila kichwani mwako mtupu kabisaπππππππMchezaji mwenzako wa Orlando Pirates amefedheeka sana kwa kuiga stail yake wakati mkicheza timu moja huko South. Kumbe wakati wewe kakuweka Benchi ulikuwa na kazi ya kukopi haki zake za kucheza mpaka manjonjo. Watanzania na Wanasimba wote tunakwambia hatujaona kiti kipya maaana ulichofanya jana ni kukopi na kupaste kazi ya Mchezaji mwenzako wa Orlando Pirate. Wazembe tu ndio wataona kitu kipya no thanks.
Angalia video chini
Kuna watu wanapiga keleleeee utazan kafanya kitu kipya, tunawakumbusha tu Mkuu waache kelele huku mtaaani wanatusumbua.Kuiga ruksa, ila afanye hivyo kwenye mechi zote kama siku moja hajatafuta gei la kutokea
Ni kitu kipya kwenye ligi yetu ya bongo. Au mwenzetu ulishawahi kuona mchezaji akitembea juu ya mpira kwenye ligi yetu?Kuna watu wanapiga keleleeee utazan kafanya kitu kipya, tunawakumbusha tu Mkuu waache kelele huku mtaaani wanatusumbua.