Mchezaji mwenzako wa Orlando Pirates amefedheeka sana kwa kuiga stail yake wakati mkicheza timu moja huko South.
Kumbe wakati wewe kakuweka Benchi ulikuwa na kazi ya kukopi haki zake za kucheza mpaka manjonjo.
Watanzania na Wanasimba wote tunakwambia hatujaona kiti kipya maaana ulichofanya jana ni kukopi na kupaste kazi ya Mchezaji mwenzako wa Orlando Pirate. Wazembe tu ndio wataona kitu kipya no thanks.
Angalia video chini