Morrison katukosea sana, yaani sisi Wana-Yanga hatujasoma! Kweli hatuelewi anachoongea?

Morrison katukosea sana, yaani sisi Wana-Yanga hatujasoma! Kweli hatuelewi anachoongea?

Kujua kingereza ndo kuwa na akili?
Kuna utofauti kati ya kuelewa na kuwa na akili
Wachina wanaakili , Ila hawaelewi kingereza

Wewe sio mwana Yanga
Wachina wanwjifunzia waoi kiingereza,ila yanga mmesoma kiingereza tangu chekechea ila hamjui kukiongea huo ni ujinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kawaaibisha mnooo
Kama anavyoaibisha Kocha Nabi kuwa na mkalimani Makambo au siyo?

Lugha ya Taifa Tanzania ni ipi? Mbona hapa JF majukwaa ya Kingereza hamuonekani mmewasusia wakenya?

Unafki wenu jumanne nane nane wala siyo mbali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Morisson ndo kasema hivyo, why unakua bitter kwangu??? Hebu relaaaaaaaaxxx
 
Yanga ratiba inatoka ya Caf juma tatu muanze kwenda airport kuwapokea wageni hlo ndo mnaweza.
 
Kwa kweli tumehuzunishwa sana na kauli ya Morrison tena mbele ya Jukwaa la Wiki ya Mwananchi.

Kutuumbua kwa kusema hatuelewi anachoogea
[emoji3] mmekuwa kama huyu jamaa tuu.Byuti byuti..!
FB_IMG_1659854202059.jpg
 
Back
Top Bottom