frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
- Thread starter
-
- #21
Kama simba watamchukua utakuwa mwendelezo wa ujinga kwani kwa namba yake simba wana wachezaji wengi ila simba wanatakiwa kusajili kwa kuangalia mapungufu ya timu
Haa haaKwisha habari.Simba haijawai shindwa vita
Kwer kakampira ni kazi
Utopolo wazee wa kujitekenya na kucheka wenyeweSi walisema kasaini miaka 2 imekuwaje tena?
Hebu fafanuaMo anaweza kurudishwa kwao India unamchezea waziri wa sheria na katiba
post ya kipumbafu kwelikweli
Utani tuHebu fafanua
Ivi kumbe simba mnamkubali JamaaHabari: uongozi wa yanga umeendelea kuhaha kutafuta mawasiliano ya ya winga wao Bernard Morrison,simu amezima na hapatikani alipo
Ikumbukwe kuwa Morrison aliingia yanga Kwa mkataba wa miez 3 na kabla ya kumaliza mkataba simba walianza kumnyemelea kimya kimya winga huyu baadae yanga walikuja kuusoma mchongo huo na kumwita ili wampe mkataba wa mda mlefu
Gsm walitenga kitita cha mil80 kiasi ambacho Morrison alikataa na kutaka apewe mil.160,Gsma walikataa na kuendelea kumbebeleza
Kama kawaida wazee wa kubadili gia angani simba sc baada ya kuona gsm kama wanasusua walimfuata na kumpa kias cha pesa hicho
Time will tell
Jipe muda utakuja kuaibika. Kuna audio anakiri kuchukua mzigo wa Simba, anasema hatasaini Yanga.kweli mashabiki wa simba ni mambumbumbu, yaani matakuwa wa kudanganywa kwa kwenda mbele adi siku mnaingia kaburin………….pole sana!
Kasikilize vizuri tena hiyo audio afu urudi tena utoe ushuhudaJipe muda utakuja kuaibika. Kuna audio anakiri kuchukua mzigo wa Simba, anasema hatasaini Yanga.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nimesikiliza vizuri. Kampiga Mo. Lakini ni vizuri amrudishie ile pesa kama hatasaini Simba, anaweza kuishi hapa Tz kwa tabu sana.Kasikilize vizuri tena hiyo audio afu urudi tena utoe ushuhuda
🤣🤣🤣Nimesikiliza vizuri. Kampiga Mo. Lakini ni vizuri amrudishie ile pesa kama hatasaini Simba, anaweza kuishi hapa Tz kwa tabu sana.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mh!Jipe muda utakuja kuaibika. Kuna audio anakiri kuchukua mzigo wa Simba, anasema hatasaini Yanga.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
ile vita ya march 8 vpKwisha habari.Simba haijawai shindwa vita