Morrison Mali halali ya Simba

Huu ni uongo
 
Mkuu amka umedanganywa na ndoto yako. Halafu Kule Taifa Masau Bwire anamwaga shombo ni balaa.
 
morison akija simba atafit kitengo gani?

maana kwenye ishu ya wachezaji simba iko kamili kila idara sa kwa kiwango gani alichonacho mpaka ajumuishwe kwenye kikosi?
 
Khaaaaah ivi Simba wana nn lakin? Sasa huyu Morrison ana kipi cha ajabu tena? Yaan km n kwel watamchukua huyu mdudu lol chefuuuuh. Mxieeeeeeew
 
Hii inafanana kabisa na ile mtu unaota unakula mamisosi ya kufa mtu tena Yale classic halafu unaamka asubuhi hakuna kitu na njaa inauma kichizi!
 
Mapungufu ya Simba sasa hivi ni beki wa kulia wa kumsaidia Kapombe, beki wa kati kuwasaidia Wawa na Nyoni, kiungo mkabaji wa kumsaidia Mkude na mshambuliaji wa kati wa kuwasaidia Boko na Kagere. Sasa Morison wa nini wakati Simba ndio timu tajiri ya viungo washambuliaji wa katikati na pembeni kwa hapa Tanzania. Kama ni kweli wanamfuatilia Morison basi kamati za ufundi na usajili zivunjwe maana kwanza hazijui Simba ina mapungufu gani na pia hazijui hayo mapungufu yazibwe na mchezaji kutoka wapi mpaka wasubirie Yanga iwafanyie 'scouting".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…