NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Tuta revange.tunajipangaile vita ya march 8 vp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuta revange.tunajipangaile vita ya march 8 vp
Huu ni uongoHabari: uongozi wa yanga umeendelea kuhaha kutafuta mawasiliano ya ya winga wao Bernard Morrison,simu amezima na hapatikani alipo
Ikumbukwe kuwa Morrison aliingia yanga Kwa mkataba wa miez 3 na kabla ya kumaliza mkataba simba walianza kumnyemelea kimya kimya winga huyu baadae yanga walikuja kuusoma mchongo huo na kumwita ili wampe mkataba wa mda mlefu
Gsm walitenga kitita cha mil80 kiasi ambacho Morrison alikataa na kutaka apewe mil.160,Gsma walikataa na kuendelea kumbebeleza
Kama kawaida wazee wa kubadili gia angani simba sc baada ya kuona gsm kama wanasusua walimfuata na kumpa kias cha pesa hicho
Time will tell
Ulikuwa umekalia nini wakati unasikiliza hiyo audio!? Mana inaonyesha kuna baadhi ya maneno ulikuwa huyasikiiJipe muda utakuja kuaibika. Kuna audio anakiri kuchukua mzigo wa Simba, anasema hatasaini Yanga.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mkuu amka umedanganywa na ndoto yako. Halafu Kule Taifa Masau Bwire anamwaga shombo ni balaa.Habari: uongozi wa yanga umeendelea kuhaha kutafuta mawasiliano ya ya winga wao Bernard Morrison,simu amezima na hapatikani alipo
Ikumbukwe kuwa Morrison aliingia yanga Kwa mkataba wa miez 3 na kabla ya kumaliza mkataba simba walianza kumnyemelea kimya kimya winga huyu baadae yanga walikuja kuusoma mchongo huo na kumwita ili wampe mkataba wa mda mlefu
Gsm walitenga kitita cha mil80 kiasi ambacho Morrison alikataa na kutaka apewe mil.160,Gsma walikataa na kuendelea kumbebeleza
Kama kawaida wazee wa kubadili gia angani simba sc baada ya kuona gsm kama wanasusua walimfuata na kumpa kias cha pesa hicho
Time will tell
Jipe muda utakuja kuaibika. Kuna audio anakiri kuchukua mzigo wa Simba, anasema hatasaini Yanga.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Leta ukwer wakoHuu ni uongo
Nenda karudie tena kusoma ilo gazeti ili ujue nani anaepelekwa FIFAMorison anawapeleka yanga fifa kwa mujibu wa gazeti la mwanaspoti
Kula tano mkuu ....hapo ndio huwa napata shida kumtofautisha MO na shabiki wa Simba wa Tandika Tambuka Reli!Mimi ni simba lakini kama kweli ni upumbavu mtupu
😀😀 Kama sio hawa ambao kipindi anakuja kwa Wananchi walisemaga tumemsajili mwizi wa magari. Teh tehMume wenu halali huyu hivyo hatushangai mnavyompenda
Hahahahaaa. LolUlikuwa umekalia nini wakati unasikiliza hiyo audio!? Mana inaonyesha kuna baadhi ya maneno ulikuwa huyasikii
Sent using Jamii Forums mobile app
imekula kwenu Yanga
Hata mimi Simba nakubaliana na wewe kwanini tujaze wachezaji wa aina moja wakati inajulikana wapi kuna mapungufuMimi ni simba lakini kama kweli ni upumbavu mtupu
😂😂😂😂😂😂😀😀 Kama sio hawa ambao kipindi anakuja kwa Wananchi walisemaga tumemsajili mwizi wa magari. Teh teh