Morrison ndiye mchezaji pekee mjanja kwenye timu ya Yanga

Morrison ndiye mchezaji pekee mjanja kwenye timu ya Yanga

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Hapa nazungumzia saikolojia ya kucheza na refa. Waarabu kitu kidogo wamelalamika na kuonekana kama wameonewa. Mpira katoa yeye anakimbilia atake kurusha na uhuni mwingine mwingi.

Mambo kama haya yanaathiri saikolojia ya refa na maamuzi yake ya baadaye. Ni Morrison pekee ndiye anaweza uhuni huu. wachezaji wa yanga wapo tu "Tunamuachia Mungu." Hawafundishwi kucheza na refa?
 
Back
Top Bottom