Imaniyanguitaniponyatu
Member
- Aug 23, 2021
- 54
- 87
Asalaam
Tofauti ya kuondoka Morrison Simba na wachezaji wote wanaotoka hivi vilabu vikubwa huwa kuna mvutano sana.
Leo BM3 anaondoka Simba kila mchezaji anafurahi hadi wanamtakia heri imefikia hadi CEO Barbara kumuaga vizuri Morrison wakati wanajua fika ataenda kwa mpinzani wao.
Manara anawapa moyo utopolo na kupelekea kuacha ratiba zao za kutafuta ubingwa nguvu wameamishia kwenye kushangilia taarifa ya Morrison kuondoka KOLO FC.
Wachezaji wa Yanga lazima morali ishuke kwa sababu wanajua kuna mtu anakuja na anakuwa na namba ya kudumu hivo lazima wapoteze namba hivo morali ya upambanaji itakuwa chini sana.
Yanga shtukeni huko mlipo mtakosa na ubingwa pengine na FA mkakosa kisa ujinga. Morrison bado ni mali ya simba na ameshakula kandarasi ya miaka miwili tena, mje mchakazwe mseme Simba wana mbinu chafu.