Morrison ni chambo inayotumika kuwatoa yanga kwenye reli ya ubingwa utopolo mjiangalie

Morrison ni chambo inayotumika kuwatoa yanga kwenye reli ya ubingwa utopolo mjiangalie

Joined
Aug 23, 2021
Posts
54
Reaction score
87
Asalaam
Tofauti ya kuondoka Morrison Simba na wachezaji wote wanaotoka hivi vilabu vikubwa huwa kuna mvutano sana.

Leo BM3 anaondoka Simba kila mchezaji anafurahi hadi wanamtakia heri imefikia hadi CEO Barbara kumuaga vizuri Morrison wakati wanajua fika ataenda kwa mpinzani wao.

Manara anawapa moyo utopolo na kupelekea kuacha ratiba zao za kutafuta ubingwa nguvu wameamishia kwenye kushangilia taarifa ya Morrison kuondoka KOLO FC.

Wachezaji wa Yanga lazima morali ishuke kwa sababu wanajua kuna mtu anakuja na anakuwa na namba ya kudumu hivo lazima wapoteze namba hivo morali ya upambanaji itakuwa chini sana.

Yanga shtukeni huko mlipo mtakosa na ubingwa pengine na FA mkakosa kisa ujinga. Morrison bado ni mali ya simba na ameshakula kandarasi ya miaka miwili tena, mje mchakazwe mseme Simba wana mbinu chafu.
 
Tanzania chini ya TFF ndio nchi Pekee inayoruhusu machizi wenye upungufu wa akili kucheza mpira

Morrison hana akili timamu..
Bado Yanga wanamtaka.
 
Nakuhakikishia Yanga hawamtaki na hatorudi
Mashabiki wa Yanga tujiandae tu kisaikolojia. Huyu mvuta bangi msimu ujao tutakuwa naye Jangwani!

Eti Profesa Nabi ndiyo anamhitaji zaidi kwa ajili ya mechi za Kimataifa! Na ndiyo aina ya mchezaji amtakaye kwa upande wa pembeni kule mbele!

Profesa kazingua kweli kweli. Na jamaa tayari ameshasaini mkataba wa awali. Inasubiriwa Julai 1 tu mkataka wake ukimalizika kule Juji Fc, aje rasmi kusaini mkataba wa muda mrefu!
 
Morrison aliletwa nchini na Yanga ndio home kwake na aliwaadhibu Mikia aka Makolo FC goli la kideoni ni tamaa tu zilimpeleka Simba na kwa nidhamu iliyoko Yanga chini ya Nabi na Kaze atatuliza bangi zake na ataupiga mwingi kutokana na kiwango cha timu hivi sasa.

Huyu BM33 tunamtaka na anakuja kuziba pengo la Saidoo! aje tu atakaa chini mbele ya Prof Nabi
 
Back
Top Bottom