Moscow, Urusi ndani kunawaka moto mkubwa baada milipuko,

Moscow, Urusi ndani kunawaka moto mkubwa baada milipuko,

1000 sq meters... It seems hata hujui physical dimensions za vitu..
1000 sq meters ni ndogo mno, meter 31.6 meters urefu kwa 31.6 meters upana or 25 meters kwa 40 meters etc etc

Sasa hilo ni eneo kubwa?

Endelea kupima pima sheikh ila ndio kama hivyo, matukio ya milipuko mtaendelea kuyaskia kote kote Moscow, tena ndani kwa supapawa.....
 
Ndo maana nasema nyie mashabiki wa NATO hamna akili kwa sababu hamuelewi.narudia kusema kwanza Marekani hataki vita vya nuclear kwake pia urusi ananuclear nyingi.anaweza kuangamia Marekani mara 10.
Small mind.
 
Wlisema hato lipua bandari ila imekwenda tunywe chai kwanza tusubir lunch
 
Ndo maana nasema nyie mashabiki wa NATO hamna akili kwa sababu hamuelewi.narudia kusema kwanza Marekani hataki vita vya nuclear kwake pia urusi ananuclear nyingi.anaweza kuangamia Marekani mara 10.
Putin alisema ikishambuliwa Urusi atajibu kwa nuclear mara ngapi ishambuliwe tena ukitoa ile iliyogonga pale anapolala bosi wenu Putin kule Ikulu Kremlin
 
Russia akitumia nuclear hakuna wa kumgusa hata Marekani mwenyewe hatasogea kwa sababu anasilaha za nuclear kuliko NATO combined.alafu vipi kuhusu counteroffensive Mbona mmefeli.
Takwimu za jeshi la nchi huwa ni Siri kubwa ambayo Huwa haivujishwi kwa mtu yeyote,hivi nyie wenzetu huwa mnazitoa wapi hizi takwimu?
 
1000 sq meters... It seems hata hujui physical dimensions za vitu..
1000 sq meters ni ndogo mno, meter 31.6 meters urefu kwa 31.6 meters upana or 25 meters kwa 40 meters etc etc

Sasa hilo ni eneo kubwa?
Issue siyo ukubwa wa eneo,issue ni kwamba mkubwa super power aeishapenyezewa vidrone mpaka kwenye mji mkuu wake,wanachokifanya Ukrein hapa ni kupeleka meseji kwamba Moscow siyo salama tena.
 
Back
Top Bottom