Ndio wakati wa Russia nayo kutoa Tahadhari Kwa USA Sasa.
Before 9/11, Urusi alimuonya US juu ya plot hiyo, Egypt recently alimuonya Israel. I believe haya matukio kuna wakati nchi victim huyaacha yatokee kwa makusudi ili wapate kisingizio cha kutimiza malengo yao fulani fulani. Mfano 9/11 ilimsaidia US kuwaondoa Taliban, kumuondoa Sadaam. Dick cheney alitaka sana kampuni fulani ya mafuta(jina limenitoka) ambayo alikua CEO ipate deals M.E, alipoupata uVP, eti akasisitiza Zarkawi aliyekuwa Iraq, kisa tu aliwahi kufangamana na Osama, then alihusika na WTC attacks, hence pushed bush to Iraq invasion, and the oil company got drils with over 400% stock rise.

Nina mashaka hili tukio litabadili uelekeo wa Rus-Uk conflit to worse.

Statesmen are like mega riches, they see killing as a fair game.
 
Kwa hiyo KGB & FSB ambao ndo best intelligencies hawakuweza kung'amua hili mapema mpaka wakaja nyanduliwa vyumbani mwao kabisa??
Takbiiiiiiiiiiiiir
Kuna baadhi ya matukio ya kigaidi FSB walitangaza kufaulu kuzuia ila hili wamekwama.

Inawezekana Warusi (FSB) hawana network kubwa ya kishushushu ndani ya haya makundi yenye itikadi kali, haya mambo yanahitaji gharama za rasilimali fedha, watu, teknolojia ndio maana Marekani pekee anaonekana anamudu kupata taarifa hizi mapema zaidi.

T14 Armata

lee Vladimir cleef MK254 TUJITEGEMEE Gagnija
 
BREAKING: CNN reports that the US gave Moscow 'fairly specific' intelligence that ISIS wanted to carry out an attack in Russia
 
Kwani Sept 11 USA alivopigwa nae alikua failed state?
Hatuwezi kusema walikuwa failed state kwa sababu toka 1998 wakati wa mashambulizi yale ya Africa Mashariki walishang’amua kuna maadui wanawinda.

Na ni miaka zaidi ya 20 imepita so kwenye teknolojia ya ulinzi ilibidi mataifa mengine makubwa urusi ikiwemo yawe yameshajitengenezea uwezo wa kuyajua haya mapema ili yasiwakute yaliyomkuta USA sep 11 lakini bado wamezubaa na huyo huyo USA anawasaidia taarifa hizo na kwa kujifanya kiburi wanazipuuza mwisho wananchi wanakufa kama hivi.
 
Akili fupi wanasema kwamba kwa sababu America ana uwezo wa kuyajua hayo mapema basi hayo makundi ni yake na anayafadhili yeye.
 
Wanne kati ya magaidi sita wamejulikana kuwa raia wa Tajikistan, na asilimia 99% Tajikistan ni waislam.
 
They've started to reap what they sow.
 
Russia wanafaidika nini kumsaidia Assad wa Syria dhidi ya ISIS??
ISIS was formed na CIA&MOSSAD clue zipo , Urusi alimsaidia mshirika wake ambaye Marekani alikuwa anataka kumtoa

Kiufupi tutegemee muelekeo mpya wa vita na siasa za Dunia , may be WWW3 is approaching

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…