Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Unaweza kuta mshindi na yeye wamepishana kwa laki 3Eti Mandonga mtu kazi, anakusanya mafao yake. Haijalishi amepigwa au atafia ulingoni.
Jamaa hana muda wa kupumzika, hii ya kufululiza mapambano itakuja kumpa tabu kwenye afya. Ndani ya wiki mbili bondia anapigana mapambano mawili!?
Kuna kitu hukielewi kuhusu boxingMpumbavu huyu Mandonga,nilimsikia akisema hamjui bondia anayeitwa Mwakinyo.
Mimi sio shabiki wa ndondi lakini namfahahamu huyu Mwakinyo kama ninavyowafahamu Twaha Kiduku na yeye mwenyewe Mandonga
Jamaa linamuita Mandonga kinyume cha maumbile, eti linamuita Mama mdogo.Mdomo umemponza Karim Mandonga, Leo kakutana na dozi kubwa iliyompuliza na kwenda chini katika raundi ya tatu na hivyo kumfanya kuishuhudia bendera ya TKO ikipita mbele yake.
Mganda hakuwa na utani hata kidogo alichojua yeye ni kupeleka moto kwa bondia wetu.
Ifike hatua Mandonga ajitafakari juu ya career yake ya Ndondi asipokuwa Makini Historia itaandikwa kwenye vitabu maana mpinzani wake muonekano wake tu ulitisha kabla hata ya pambano.
View attachment 2702509
Jamaa lilimuweza Mandonga hata nje ya uwanja. Mandonga sio wa kusema eti yeye sio mtu wa maneno mengiJamaa linamuita Mandonga kinyume cha maumbile, eti linamuita Mama mdogo.
Halafu anaongea kama vile amemeza mabetri. Mandonga mwenyewe kabaki anajiuliza "jamaa katokea wapi huyu? Mbona hawakuniambia kuwa anachonga hivo?"
View attachment 2702669
Mimi nilidhani wame edit😃😃Jamaa lilimuweza Mandonga hata nje ya uwanja. Mandonga sio wa kusema eti yeye sio mtu wa maneno mengi
Hii game Mandonga angeshinda kabisa, maana jamaa mwenyewe anarusha makota tu. Halafu Mandonga angeweza kuendelea, nadhani refa alikua na sababu nzuri zaidi.