Kwani wasimamizi wa pambano hawazingatii vigezo? Hili jitu si lingemuua mandonga na kingumi chake cha ndukube?Mdomo umemponza Karim Mandonga, Leo kakutana na dozi kubwa iliyompuliza na kwenda chini katika raundi ya tatu na hivyo kumfanya kuishuhudia bendera ya TKO ikipita mbele yake.
Mganda hakuwa na utani hata kidogo alichojua yeye ni kupeleka moto kwa bondia wetu.
Ifike hatua Mandonga ajitafakari juu ya career yake ya Ndondi asipokuwa Makini Historia itaandikwa kwenye vitabu maana mpinzani wake muonekano wake tu ulitisha kabla hata ya pambano.
View attachment 2702509