Moses Golola amfumua mandonga kwa TKO

Moses Golola amfumua mandonga kwa TKO

Mdomo umemponza Karim Mandonga, Leo kakutana na dozi kubwa iliyompuliza na kwenda chini katika raundi ya tatu na hivyo kumfanya kuishuhudia bendera ya TKO ikipita mbele yake.

Mganda hakuwa na utani hata kidogo alichojua yeye ni kupeleka moto kwa bondia wetu.

Ifike hatua Mandonga ajitafakari juu ya career yake ya Ndondi asipokuwa Makini Historia itaandikwa kwenye vitabu maana mpinzani wake muonekano wake tu ulitisha kabla hata ya pambano.
View attachment 2702509
Kwani wasimamizi wa pambano hawazingatii vigezo? Hili jitu si lingemuua mandonga na kingumi chake cha ndukube?
 
tafute
Mdomo umemponza Karim Mandonga, Leo kakutana na dozi kubwa iliyompuliza na kwenda chini katika raundi ya tatu na hivyo kumfanya kuishuhudia bendera ya TKO ikipita mbele yake.

Mganda hakuwa na utani hata kidogo alichojua yeye ni kupeleka moto kwa bondia wetu.

Ifike hatua Mandonga ajitafakari juu ya career yake ya Ndondi asipokuwa Makini Historia itaandikwa kwenye vitabu maana mpinzani wake muonekano wake tu ulitisha kabla hata ya pambano.
tafuteni pesa mandonga apigwe asipigwe yeye anayoyoma tu kipesa na umaarufu...
 
Jamaa hana muda wa kupumzika, hii ya kufululiza mapambano itakuja kumpa tabu kwenye afya. Ndani ya wiki mbili bondia anapigana mapambano mawili!?
Sidhani kama anafanya ndondi kwa maana ya ndondi.

Kuna upande umemkalia sawa ndio anakwenda nao. Maana akisimamia kwenye ndondi hatapata hata hizo laki laki, amegeuka mburudishaji tu
 
Back
Top Bottom