Moses Golola amfumua mandonga kwa TKO

Moses Golola amfumua mandonga kwa TKO

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Mdomo umemponza Karim Mandonga, Leo kakutana na dozi kubwa iliyompuliza na kwenda chini katika raundi ya tatu na hivyo kumfanya kuishuhudia bendera ya TKO ikipita mbele yake.

Mganda hakuwa na utani hata kidogo alichojua yeye ni kupeleka moto kwa bondia wetu.

Ifike hatua Mandonga ajitafakari juu ya career yake ya Ndondi asipokuwa Makini Historia itaandikwa kwenye vitabu maana mpinzani wake muonekano wake tu ulitisha kabla hata ya pambano.
c36f163f781040d294a33cc0104c0635_363496303_1228804394477078_127793732843918756_n.jpg
 
Mpumbavu huyu Mandonga,nilimsikia akisema hamjui bondia anayeitwa Mwakinyo.
Mimi sio shabiki wa ndondi lakini namfahahamu huyu Mwakinyo kama ninavyowafahamu Twaha Kiduku na yeye mwenyewe Mandonga
 
Kuna kitu hukielewi kuhusu boxing
 
Mdomo umemponza Karim Mandonga, Leo kakutana na dozi kubwa iliyompuliza na kwenda chini katika raundi ya tatu na hivyo kumfanya kuishuhudia bendera ya TKO ikipita mbele yake.

Mganda hakuwa na utani hata kidogo alichojua yeye ni kupeleka moto kwa bondia wetu.

Ifike hatua Mandonga ajitafakari juu ya career yake ya Ndondi asipokuwa Makini Historia itaandikwa kwenye vitabu maana mpinzani wake muonekano wake tu ulitisha kabla hata ya pambano.
View attachment 2702509
Jamaa linamuita Mandonga kinyume cha maumbile, eti linamuita Mama mdogo.
Halafu anaongea kama vile amemeza mabetri. Mandonga mwenyewe kabaki anajiuliza "jamaa katokea wapi huyu? Mbona hawakuniambia kuwa anachonga hivo?"
 
Yule refa sikumwelewa.mbona alikimbilia kumaliza pambano wakati mandonga alikua anasimama.nilitamani nimwone mandonga kasimama anahesabiwa uku katoa lile jicho lake,ila sio mbaya maana ata golala naye hajui.
 
Jamaa linamuita Mandonga kinyume cha maumbile, eti linamuita Mama mdogo.
Halafu anaongea kama vile amemeza mabetri. Mandonga mwenyewe kabaki anajiuliza "jamaa katokea wapi huyu? Mbona hawakuniambia kuwa anachonga hivo?"
View attachment 2702669
Jamaa lilimuweza Mandonga hata nje ya uwanja. Mandonga sio wa kusema eti yeye sio mtu wa maneno mengi
 
Golola na
Mandonga wanafanana wote waongeaji Sana, sifa nyingi, Huyu Golola kamuotea tu Mandonga,Golola huwa anapigwa Sana tu tena mabondia ambao Ni new comers[emoji28][emoji28].
 
Arudi Morogoro Chap Kifuatacho Shida Halafu Anakoelekea Anakula Mtaji Aliouchuma
 
Mandonga Mtu Kazi
Ukipigwa Kama Umepiga, Ukipiga Umepiga Kweli Kweli
Tuko Mpaka Wamuuwe Tu

Aliwapigapiga Akapata Jina Sasa Zamu Yake Kupigwa Mpaka....
 
Back
Top Bottom