Moses Golola amfumua mandonga kwa TKO

Kwani wasimamizi wa pambano hawazingatii vigezo? Hili jitu si lingemuua mandonga na kingumi chake cha ndukube?
 
tafute
tafuteni pesa mandonga apigwe asipigwe yeye anayoyoma tu kipesa na umaarufu...
 
Jamaa hana muda wa kupumzika, hii ya kufululiza mapambano itakuja kumpa tabu kwenye afya. Ndani ya wiki mbili bondia anapigana mapambano mawili!?
Sidhani kama anafanya ndondi kwa maana ya ndondi.

Kuna upande umemkalia sawa ndio anakwenda nao. Maana akisimamia kwenye ndondi hatapata hata hizo laki laki, amegeuka mburudishaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…