Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania.
SaanaWakenya wana viherehere sana!.
Huyo mkenya ni mpuuzi sana!Hivi mkuu kwenda nchi jirani ni kiherehere?
Kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote isiyo yako ni kiherehere!!Hivi mkuu kwenda nchi jirani ni kiherehere?
Huyu jamaa ako na brain sana!!
Nimeshangaa sana inamaana sasa hivi kwenda nchi nyingine tofauti na tanzania umepeleka uchohezi,kiherehere,umevunja katiba,ni muhalifu???Huyo ni mkenya mpuuzi sana!
Waliingilia nini? Kwa sababu binafsi sijawahi pata changamoto yoyote ugenini eti kwa kigezo cha kuingilia mambo yao!??Kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote isiyo yako ni kiherehere!!
Unaenda kufanya nini? Toka lini wakenya wakazuiwa kuja Tanzania?Hivi mkuu kwenda nchi jirani ni kiherehere?
Kwanini iwe hivo kwa watu wenye ushawishi mkubwa?Unaenda kufanya nini? Toka lini wakenya wakazuiwa kuja Tanzania?
Pale sirari wakenya wameoa upande wa Tanzania na watanzania wameoa upande wa kenya na hajawahi zuiwa mtu kwenda kwa mke wake.
Hawa watu ni mara yao ya ngapi kuja Tanzania tangu wazaliwe? Mara zote walizuiwa?Kwanini iwe hivo kwa watu wenye ushawishi mkubwa?