Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania

Huyo ni mkenya mpuuzi sana!
Nimeshangaa sana inamaana sasa hivi kwenda nchi nyingine tofauti na tanzania umepeleka uchohezi,kiherehere,umevunja katiba,ni muhalifu???

Yule mwenye bichwa kama kende nae anakwambia eti wamekuja kufanya uwakili bila leseni kama aliona wakiwa kwenye list ya mawakili wa TAL!!!!
 
Kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote isiyo yako ni kiherehere!!
Waliingilia nini? Kwa sababu binafsi sijawahi pata changamoto yoyote ugenini eti kwa kigezo cha kuingilia mambo yao!??
 
Katiba ya Tanzania haisemi kuteka watu kuwapiga na kuwazika maporini.

 
Kuna watu wapuuzi yaani kusikiliza kesi nikuingilia katiba au walikuwepo kwenye orodha ya mawakili
 
Hivi mkuu kwenda nchi jirani ni kiherehere?
Unaenda kufanya nini? Toka lini wakenya wakazuiwa kuja Tanzania?
Pale sirari wakenya wameoa upande wa Tanzania na watanzania wameoa upande wa kenya na hajawahi zuiwa mtu kwenda kwa mke wake.
 
Unaenda kufanya nini? Toka lini wakenya wakazuiwa kuja Tanzania?
Pale sirari wakenya wameoa upande wa Tanzania na watanzania wameoa upande wa kenya na hajawahi zuiwa mtu kwenda kwa mke wake.
Kwanini iwe hivo kwa watu wenye ushawishi mkubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…