Ventilator
Member
- May 13, 2018
- 12
- 58
Good observation. I asked my self the same questions...Tusubiri wenye insights kama wapo.Wakati shahidi namba mbili na mshitakiwa namba tatu Mohammed Abdilah Ling'wenya wa kesi ndogo katika kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe alimtaja Mosses Lijenje kudaiwa kutupwa na polisi wakati akifanyiwa vitisho.
Mallya: Kitu gani Kiliendelea..?
Shahidi: Maaskari wakasema Mwenzenu Moses Lijenje tumeshamtupa, Ameshatangulia huku wakinigusa Kichwani na Kitu nilichokuwa nahisi kuwa ni Bastola, Ukileta Ujanja Ujanja na wewe tunakutupa
Mallya: Maneno haya ulikuwa unaambiwa wakati gani wakati wa Safari au baada ya Kufika
Huyu Moses Lijenje ni nani?
Je yupo wapi?
Je yupo hai?
Je anahusika vipi na hawa makomando?
Je anahusika vipi na hii kesi ya Mbowe?
Shahidi anaposema polisi kudai wameshamtupa wanamaanisha nini?
Hili limeniacha na maswali mengi sana ya kutafakari.
Inasikitisha sanaDuuu huyu Mahita na Kingai damu za watu zitawarudia.....muda tu
Wakati shahidi namba mbili na mshitakiwa namba tatu Mohammed Abdilah Ling'wenya wa kesi ndogo katika kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe alimtaja Mosses Lijenje kudaiwa kutupwa na polisi wakati akifanyiwa vitisho.
Mallya: Kitu gani Kiliendelea..?
Shahidi: Maaskari wakasema Mwenzenu Moses Lijenje tumeshamtupa, Ameshatangulia huku wakinigusa Kichwani na Kitu nilichokuwa nahisi kuwa ni Bastola, Ukileta Ujanja Ujanja na wewe tunakutupa
Mallya: Maneno haya ulikuwa unaambiwa wakati gani wakati wa Safari au baada ya Kufika
Huyu Moses Lijenje ni nani?
Je yupo wapi?
Je yupo hai?
Je anahusika vipi na hawa makomando?
Je anahusika vipi na hii kesi ya Mbowe?
Shahidi anaposema polisi kudai wameshamtupa wanamaanisha nini?
Hili limeniacha na maswali mengi sana ya kutafakari.
Huko ndiko napataka mimiDuh [emoji849] hii kesi nadhani inaweza kutupeleka kusiko tarajiwa.
Hiyo ni fiction story babaaYapo mengi.
Kumbuka pia tuliambiwa muuza mechi alikuwa ni poti - Luteni Urio.
Kumbe Luteni Urio alikuwa ni mmoja wa waliokuwa wakiteswa Tazara na mahabusu pendwa Tazara na pia kule Mbweni.
Kumbe basi hadithi za Kingai kuitwa kwa DCI kuwa Urio alikuwa na taarifa za magaidi zinaweza kuwa ni hadithi zingine kama za sungura na fisi.
Hivi hatuwezi kuwabana hawa Mahita na Kingai wakatuonesha Ben Saanane alipo.Hisia zina tuma kuwa jamaaa wanajua kila kituDuuu huyu Mahita na Kingai damu za watu zitawarudia.....muda tu
Watakoma sahivi tunajua kuwa ndo wauaji na watesajiDuuu huyu Mahita na Kingai damu za watu zitawarudia.....muda tu
Umemaliza lazima Mahita anajua aliko Ben saa8Hivi hatuwezi kuwabana hawa Mahita na Kingai wakatuonesha Ben Saanane alipo.Hisia zina tuma kuwa jamaaa wanajua kila kitu