Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia huyu jumanne ndiyo ilikuwa atoe ushahidi ile ijumaa lkn ndiyo wakamkimbiza nduki nduki.Sio Dereva ni Ghost katika hii kesi ila amehusika sana. Yuko kituo cha polisi Usa River ni mkuu wa upelelezi wilaya
Dereva bado hatujasikia vimeo vyake zaidi ya kumpiga ngumi Adamoo
Pia ukifatilia vizuri zaidi utagundua kwenye maelezo ya Kingai kuwa walizunguka moshi na boma kwa siku 2 kumsuka huyo Mosses Lijenje,Ukifuatilia toka mwanzo Adamo alisema wanapobadilishwa vituo hulazimishwa na kupewa majina tofauti na majina yao halisi so unaweza kukuta huyo Moses lijenje ni katika mlolongo huo
Inaonekana vitendo vyingi vya mateso vilifanywa na huyu j4 dhidi ya watuhumiwa,Nasikia huyu jumanne ndiyo ilikuwa atoe ushahidi ile ijumaa lkn ndiyo wakamkimbiza nduki nduki.
Ilijulikana sababu ni nini ya kumuondosha jumanne asitoe ushahidi?
Huyu jumanne angalau tupate picha yakeInaonekana vitendo vyingi vya mateso vilifanywa na huyu j4 dhidi ya watuhumiwa,
labda kina kingai wameona cross examination ya j4 zitaibua mengine yasiyofaa kujulikana.
Nasikia huyu jumanne ndiyo ilikuwa atoe ushahidi ile ijumaa lkn ndiyo wakamkimbiza nduki nduki.
Ilijulikana sababu ni nini ya kumuondosha jumanne asitoe ushahidi?
😂😂😂😂Nasikia huyu jumanne ndiyo ilikuwa atoe ushahidi ile ijumaa lkn ndiyo wakamkimbiza nduki nduki.
Ilijulikana sababu ni nini ya kumuondosha jumanne asitoe ushahidi?
Hili ndilo limenishangaza,inakuwaje source ya tukio la maandalizi ya Ugaidi nae akamatwe ateswe halafu cha kushangaza kwenye kutuhumiwa kesi yeye hayupo lakini kwenye mateso alikuwepo.Yapo mengi.
Kumbuka pia tuliambiwa muuza mechi alikuwa ni poti - Luteni Urio.
Kumbe Luteni Urio alikuwa ni mmoja wa waliokuwa wakiteswa Tazara na mahabusu pendwa Tazara na pia kule Mbweni.
Kumbe basi hadithi za Kingai kuitwa kwa DCI kuwa Urio alikuwa na taarifa za magaidi zinaweza kuwa ni hadithi zingine kama za sungura na fisi.
Na laki tatu ya shahidi wa pili nayo wameinywamimi mpaka majuzi hawa kina kingai nilikuwa nafikiria tu wamrudishie adamoo laki mbili hamsini zake walizochukua, kumbe wanachukua na roho za watu... sasa hapa nimechoka kabisa
Wale makomandoo?View attachment 1955159
Kati ya hao wanne wawili wako kwenye hii picha
Unamwachaje Jumanne?Mahita na Kingai ni watu wasiojulikana.
Imejulikana rasmi sasa.
Aliyekuwa nahojiwa leo ambaye ni komando pia huyu hapa aliyepiga salutiWakati shahidi namba mbili na mshitakiwa namba tatu Mohammed Abdilah Ling'wenya wa kesi ndogo katika kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe alimtaja Mosses Lijenje kudaiwa kutupwa na polisi wakati akifanyiwa vitisho.
Mallya: Kitu gani Kiliendelea..?
Shahidi: Maaskari wakasema Mwenzenu Moses Lijenje tumeshamtupa, Ameshatangulia huku wakinigusa Kichwani na Kitu nilichokuwa nahisi kuwa ni Bastola, Ukileta Ujanja Ujanja na wewe tunakutupa
Mallya: Maneno haya ulikuwa unaambiwa wakati gani wakati wa Safari au baada ya Kufika
Huyu Moses Lijenje ni nani?
Je yupo wapi?
Je yupo hai?
Je anahusika vipi na hawa makomando?
Je anahusika vipi na hii kesi ya Mbowe?
Shahidi anaposema polisi kudai wameshamtupa wanamaanisha nini?
Hili limeniacha na maswali mengi sana ya kutafakari.
hii kesi sasa ishakuwa an opened Pandora box, hata serikali ikisema haina nia na hii kesi haitasaidia kitu.
Sio Dereva ni Ghost katika hii kesi ila amehusika sana. Yuko kituo cha polisi Usa River ni mkuu wa upelelezi wilaya
Dereva bado hatujasikia vimeo vyake zaidi ya kumpiga ngumi Adamoo
Kwanza, unamuomba rais kuingilia mahakama. Kama Mbowe na wenzake hawana hatia, ni kazi ya mahakamas kuamuwa kuwa hawana hatia. Je, kumshauri raisi aingilkie huo ni utawala bora. Kwani wewe una wasiwasi gani? Kama Mbowe hakutenda kosa la ugaidi, ataachiwa.Hii kesi badala ya kuleta amani uraiani kwa kuwafungia gaidi mbowe na wenzake inakoelekea italeta machafuko nchini, kwa sababu hii kesi inaeleweka ni ya kisiasa, sasa haya mambo ya jeshi la polisi kuanza kuonekana linaua watu litawaletea shida hawa askari huku vituoni kwao mitaani.
huyu mama wa kizanzibar nimeishasema afute hii kesi, haya mambo ya askari kuua watu yalikuwa awamu ya tano huko, sasa hawa kina kingai wanataka kuanza kuyaambatanisha na awamu ya sita.
Tangia walikuja kwangu kukagua sjui vinini saabu ya mume wangu wakaiba kasimu ka torch na viatu vya Mr hata sinaga imani na hao watu sjui nawaonaje! ( sio hao kwenye kesi ila ni polisi wenzao dah nlichoka)Halafu mnakwapua mpaka laki mbili na sitini za mtuhumiwa. Nilijua mna kiu ya damu tu ,kumbe mpaka MNA njaa kali mno.
Yaani RCO na jopo lake wanakwapua laki mbili na sitini?