Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Hii kesi badala ya kuleta amani uraiani kwa kuwafungia gaidi mbowe na wenzake inakoelekea italeta machafuko nchini, kwa sababu hii kesi inaeleweka ni ya kisiasa, sasa haya mambo ya jeshi la polisi kuanza kuonekana linaua watu litawaletea shida hawa askari huku vituoni kwao mitaani.

huyu mama wa kizanzibar nimeishasema afute hii kesi, haya mambo ya askari kuua watu yalikuwa awamu ya tano huko, sasa hawa kina kingai wanataka kuanza kuyaambatanisha na awamu ya sita.
Naona unaombea yale aliyotaka kuyafanya Mbowe. Wewe huna tofauti na Mbowe, maana unataka kuleta total anarchy and chaos. Tatizo lako wewe ni muoga. Unataka watu wengine ndiyo wakufanyie huo ugaidi. Kitu kama hicho hakitatokea TZ. Na Mbowe atailamba miaka, huenda akaozea jela. Nasikia jela huko kuna mabauncer, mwambie awe na chupi ya chuma.
 
Hii kesi itawafungua macho wengi. Kituo cha polisi TAZARA mkuu wake ana hadhi sawa na RPC . Kuna watu wengi sana wameuawa pale, natumaini siku moja yaliyopo gizani yatamulikwa.
Kuna watu wengi sana wameuawa pale, natumaini siku moja yaliyopo gizani yatamulikwa.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
 
Tangia walikuja kwangu kukagua sjui vinini saabu ya mume wangu wakaiba kasimu ka torch na viatu vya Mr hata sinaga imani na hao watu sjui nawaonaje! ( sio hao kwenye kesi ila ni polisi wenzao dah nlichoka)
Kwani unadhani Hamza aliwatandika risasi Polisi waliomdhulumu? Polisi wema ni wachache sana.
 
Hii kesi badala ya kuleta amani uraiani kwa kuwafungia gaidi mbowe na wenzake inakoelekea italeta machafuko nchini, kwa sababu hii kesi inaeleweka ni ya kisiasa, sasa haya mambo ya jeshi la polisi kuanza kuonekana linaua watu litawaletea shida hawa askari huku vituoni kwao mitaani.

huyu mama wa kizanzibar nimeishasema afute hii kesi, haya mambo ya askari kuua watu yalikuwa awamu ya tano huko, sasa hawa kina kingai wanataka kuanza kuyaambatanisha na awamu ya sita.

NINI KILIKUWA KINAENDELEA JESHINI?
Je ndani ya jeshi kulikuwa na fukuto kuhusu mustakabali wa nchi kuendelea kutawaliwa na CCM?

Hii kesi inaibua mengi mtambuka kuhusu wanajeshi kuwekwa mahabusu na kuteswa
ndefu na Juu alikuwa amevaa Combat lakini siyo ya kitanzania

Nikamwambia Mimi nimekamatwa na tumeletwa hapa sijui ni Wapi

Akaniambia "Hapa ni Tazara Kituo cha Polisi"

Wakati naongea na Yule mrangi kuna mwingine akajitokeza kijana Mweusi, nikawambia nimeletwa hapa lakini Mimi nilikuwa ni Askari

Yule akijana Mweusi akasema Vipi MIC? MIC ni neno la Kijeshi

Nikamwambia Mbona wewe upo hapa.?

Akaniambia Mimi ni Askari nilikuwa naswali kwa Azizi Ally kambi yangu ni Twalipo

Alipokuwa amepaki Pikipiki nje akiwa anaswali ndani, wakamsubiri atoke wakampini wakamleta Tazara na akasema yupo Tazara kwa Miezi nane.

Nikamuuliza shida nini.?

Akasema wanaoletwa hapa ni Kesi za Kigaidi.

Shahidi: Siku inayofuata nikiwa kwenye Cello siku inayofuata nikasikia Kilio, nikachungulia Kule Nyuma nikaona watu niliiokuwa nao Depo JKT , TPDF na 92KJ Komandoo (Wadepo wangu)

Nilishuhudia Chuma Chugulu na Alex akiwa na Kijitabu na wenzie wakiwa Wanadepo Wenzangu Kupitia Matundu ya Dirisha walikuwa wanamtesa Mtu. Ambapo baade nilimfahamu yule Mtu Kwa Majina anatolewa Kwenye Magari Mabovu alipokuwa anateswa kwa kushikwa na Mtu Mmoja na Mmoja yupo nyuma yake nilimfahamu aliyekuwa anateswa Kuwa ni Dennis Urio ambaye ni Luteni wa Jeshi ambaye alinitafutia hii Kazi ya VIP PROTECTION kwa Mwenyekiti wa Chadema

Mallya: Awali ulisikia Kilio baadae ukaona Mtu Mwenye kitabu na Rungu na baadae Urio anatolewa Kule kwenye Magari Mabovu, kwa aufahamu wako nani alikuwa anateswa Kule?

Shahidi: Kwa nilivyoona Mimi Leteni Dennis Urio ndiye alikuwa anateswa. Siwezi Kuwa na Ukahika nao ila Kama Dakika 15 Mpaka 20

Mallya: Kipi ulitangulia Kuona Kwanza Kati ya Wanadepo Wenzio na baade Askari Polisi na Urio?

Shahidi: Nilishuhudia Alex ndiye wa kwanza Kutoka baadae katoka Chuma Chungulu na Mapolisi wakiwa na Urio
 
Naona unaombea yale aliyotaka kuyafanya Mbowe. Wewe huna tofauti na Mbowe, maana unataka kuleta total anarchy and chaos. Tatizo lako wewe ni muoga. Unataka watu wengine ndiyo wakufanyie huo ugaidi. Kitu kama hicho hakitatokea TZ. Na Mbowe atailamba miaka, huenda akaozea jela. Nasikia jela huko kuna mabauncer, mwambie awe na chupi ya chuma.
Tumeyasoma maoni yako.
Next......
 
I wish I cud b aijipi....naanza kuelewa. Kweli polisi wetu wanawatesa jwtz...tena ile torturing kwenye killing zone. Huu ni udhalilishaji....jw ni jeshi lenye heshima sana kwa wananchi....rejea vita vya uganda. Kwa vyovyote hii kesi itakavyoisha......kitanuka
 
Hii kesi badala ya kuleta amani uraiani kwa kuwafungia gaidi mbowe na wenzake inakoelekea italeta machafuko nchini, kwa sababu hii kesi inaeleweka ni ya kisiasa, sasa haya mambo ya jeshi la polisi kuanza kuonekana linaua watu litawaletea shida hawa askari huku vituoni kwao mitaani.

huyu mama wa kizanzibar nimeishasema afute hii kesi, haya mambo ya askari kuua watu yalikuwa awamu ya tano huko, sasa hawa kina kingai wanataka kuanza kuyaambatanisha na awamu ya sita.
Sasa hayo mambo umeambiwa ni ya lini kama sio awamu ya tano,
Ngoja picha liendele tutajua mengi,
Mkuu ni kufungue tu wengi wanatanguliza ushabiki,
kesi kama hizi mara nyingi zinakua na nia nyingi zilizojificha ambazo watu wanaowaza pafupi hawawez kuelewa,
Hili picha unaweza kuta sa nyingne limeandaliwa tu na kuna mtu ana tafutwa apo ..
 
Hii kesi itawafungua macho wengi. Kituo cha polisi TAZARA mkuu wake ana hadhi sawa na RPC . Kuna watu wengi sana wame***** pale, natumaini siku moja yaliyopo gizani yatamulikwa.
Waswahili walinena : yalio baharini yangojwe ufukweni... na hii kesi ya mbowe huenda ikawa chanzo cha mengi kuibukia ufukweni likiwemo lile la maiti ndani ya viroba vilivyookotwa kando ya bahari.
 
Hili ndilo limenishangaza,inakuwaje source ya tukio la maandalizi ya Ugaidi nae akamatwe ateswe halafu cha kushangaza kwenye kutuhumiwa kesi yeye hayupo lakini kwenye mateso alikuwepo.

Mapema Kingai alitajwa Kam PW #2. Ikadhaniwa PW #1 ni Urio.

Yakaja maswali kwa nini huyo PW #1 hakutokea hapa kutoa ushahidi? Ikadhaniwa tena labda kwa vile hii ni trial within trial? Labda anaendelea kuwa PW #1 kwenye shauri la msingi?

Bado ikadhaniwa yote kheri. Ila kuna maswali ya msingi ya kujibu. Hivi kwanini akaripoti njama hizi kwa kina Boaz na si kwa kina Mabeyo?

Kumbe naye ya "first blood" yalimhusu?

Hiiiiii bagosha!

"Adamoo" ni kama ilivyokuwa kwa Rambo na "First Blood"

Jiwe alituharibia sana hii nchi. Hangaya naye hizo kazi zinaendelea!

Wacha waendelee kutesa watu labda Mola mjomba wao.
 
Naona unaombea yale aliyotaka kuyafanya Mbowe. Wewe huna tofauti na Mbowe, maana unataka kuleta total anarchy and chaos. Tatizo lako wewe ni muoga. Unataka watu wengine ndiyo wakufanyie huo ugaidi. Kitu kama hicho hakitatokea TZ. Na Mbowe atailamba miaka, huenda akaozea jela. Nasikia jela huko kuna mabauncer, mwambie awe na chupi ya chuma.
Ipo siku, yanayomkuta mbowe yatakukuta na wewe!
 
Back
Top Bottom