feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Ituzidishie hasira...
Alafu mkijua mengi? Umewahi sikia Jamhuri imefungwa jela?[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu mkijua mengi? Umewahi sikia Jamhuri imefungwa jela?[emoji1787][emoji1787]
Hii kesi badala ya kuleta amani uraiani kwa kuwafungia gaidi mbowe na wenzake inakoelekea italeta machafuko nchini, kwa sababu hii kesi inaeleweka ni ya kisiasa, sasa haya mambo ya jeshi la polisi kuanza kuonekana linaua watu litawaletea shida hawa askari huku vituoni kwao mitaani.
huyu mama wa kizanzibar nimeishasema afute hii kesi, haya mambo ya askari kuua watu yalikuwa awamu ya tano huko, sasa hawa kina kingai wanataka kuanza kuyaambatanisha na awamu ya sita.
Kwa kifupi Kingai alidanganya.Ninachojiuliza ni kwanini na huyo Dennes Urio aliteswa ilihali Kingai alisema kuwa ndiye alikuwa mtoa taarifa wao?
maswali mengi kuliko majibu.
ili ndugu wakienda kituoni kumtafuta mtu wao wamkose.Mi ninachojiuliza why wawabadili majina lengo lao nini?
watu wengi hawajui kwamba Muumba ni Roho... alikuwepo mtu hapa anatamba balaa, akapewa roho ngumu akaidharau Corona - ikapita naye.Wakati mwingine muumba huwa na makusudi yake, aweza kukupiga upofu au kufungua macho ili kuona au kutoona ya sirini. Kila mmoja wetu anacho cha kujifunza nini kipo miongoni mwetu.
ili ndugu wakienda kituoni kumtafuta mtu wao wamkose.
Kwa kuwa wewe ni Jaji sawa!Naona unaombea yale aliyotaka kuyafanya Mbowe. Wewe huna tofauti na Mbowe, maana unataka kuleta total anarchy and chaos. Tatizo lako wewe ni muoga. Unataka watu wengine ndiyo wakufanyie huo ugaidi. Kitu kama hicho hakitatokea TZ. Na Mbowe atailamba miaka, huenda akaozea jela. Nasikia jela huko kuna mabauncer, mwambie awe na chupi ya chuma.
Afungwe kwa ushahidi gani?Naona unaombea yale aliyotaka kuyafanya Mbowe. Wewe huna tofauti na Mbowe, maana unataka kuleta total anarchy and chaos. Tatizo lako wewe ni muoga. Unataka watu wengine ndiyo wakufanyie huo ugaidi. Kitu kama hicho hakitatokea TZ. Na Mbowe atailamba miaka, huenda akaozea jela. Nasikia jela huko kuna mabauncer, mwambie awe na chupi ya chuma.
Hii tasnia ina laana kuu ,ilipaswa kutenda haki lkn ndiyo wanaongoza kwa dhulumaTangia walikuja kwangu kukagua sjui vinini saabu ya mume wangu wakaiba kasimu ka torch na viatu vya Mr hata sinaga imani na hao watu sjui nawaonaje! ( sio hao kwenye kesi ila ni polisi wenzao dah nlichoka)
DU!Ben saaa8 hakuuawa na Polisi.Taarifa nyeti na za kuaminika zilizopo zinasema kuwa Kayafa alimuua yeye mwenyewe kwa mikono yake.
Braza! When it comes to serious criminal offences, kuwakimbia polisi ni kuwarahisishia kazi tu. Unapunguza milolongo ya PGO...Hili limeniacha na maswali mengi sana ya kutafakari.
Hii nasadiki ,maana ile kuning'inizwa uchi km popo kwenye killing zone ni hatariKingai na huyo Mahita, lazima ni miongoni mwa watu wasiojulikana. Hawa lazima walishiriki au wanafahamu waliotaka kumwua Lisu, walimpoteza Ben Saanane, Kanguye, yule diwani aliyeuawa Dar na kule Morogoro. Hawa wamo kwenye kundi la wauaji.
Mikono ya Kingai na mahita imejaa damu za watu wasio na hatia.
Nani kakwambia mambo ya jamhuri kufungwa au unaweweseka.Alafu mkijua mengi? Umewahi sikia Jamhuri imefungwa jela?[emoji1787][emoji1787]
Aiseee!!!!!! Mkuu hii ni kubwa kuliko.Ben saaa8 hakuuawa na Polisi.Taarifa nyeti na za kuaminika zilizopo zinasema kuwa Kayafa alimuua yeye mwenyewe kwa mikono yake.
Duh kayafa lilikuwa katilli sanaBen saaa8 hakuuawa na Polisi.Taarifa nyeti na za kuaminika zilizopo zinasema kuwa Kayafa alimuua yeye mwenyewe kwa mikono yake.
Bora wajitokeze wamdai ndugu yao.hii kesi itavurumua mengi.... ndugu wa Moses Lijenje wakisikia haya litakuwa jambo lingine jipya.