Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Ukifuatilia toka mwanzo Adamo alisema wanapobadilishwa vituo hulazimishwa na kupewa majina tofauti na majina yao halisi so unaweza kukuta huyo Moses lijenje ni katika mlolongo huo
Sijakuelewa mkuu, Kuna post fulani humu ndugu wa huyo Linjenje wanasema wanaomba kujua mwili wa ndugu yao ulitupwa wapi ili wauzike kwa heshima, Sasa kama ni hawa kubadilishwa majina, vipi watu watake mwili?
soma pia hapa:Brings back Moses Lijenje campaign
 
Wahenga walisema damu ya mtu haiwezi kumwagika bure, na Mimi nasubiria hiyo siku kila polisi atakapolipia damu aliyoimwaga.
Hata vitabu vya dini vinasema - no stone will be left unturned!
 
hii kesi itavurumua mengi.... ndugu wa Moses Lijenje wakisikia haya litakuwa jambo lingine jipya.
Mpaka hapo polisi watakuwa na cha kujibu hii hoja kwa wananchi,Moses Lijenje walikuwa nae je yuko wapi ?......Nakumbuka kuna Askari mmoja sasaivi ni marehemu alikuwa ni muislamu mtu wa ibada swala 5 katika kusitaafu kwake na kabla ya kustaafu alikuwa hapendi japo mtoto wake kuingia polisi ndio naanza kuelewa sasa
 
watuambie alipo ben sa8 na moses lijenje safari hii polisi wamejiteka wenyewe kumuita mbowe gaidi imekula kwao maisha
 
Unazungumzia hili suala kanakwamba Wewe ni mwema na unaipenda nchi yetu, Wewe intarahamwe!! Kama Wewe siyo muoga, sukumagang wa kawaida, ni Nani hasa?!
 
Alafu mkijua mengi? Umewahi sikia Jamhuri imefungwa jela?[emoji1787][emoji1787]
Kuna watakao fungwa! Kama hujui, kuna lisabaya linaishi Kisongo baada ya kutumia vibaya u-DC, kwa jina la hiyo hiyo Jamuhuri!
 
Maana yake alitupwa ila cha kujiuliza wapi maana kutokana na ushahidi wa Adamo Kuna watuhumiwa wanapewa majina yasiyo ya kwao
 
hapa serikali nadhani ingeangalia namna sasa, sababu hao jamaa ni makomandoo hii kesi ipelekwe mahakama ya jeshi kwa sababu hii kesi naona inaanza kuwa mtambuka sasa
Hutaki siri ziwe wazi, acha mambo yaonekane kama kuna uchafu uonekane
 
Inaletaje mchafuko wewe tulia kaa pembeni... acha mahakama ifanye kazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…