Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Sijakuelewa mkuu, Kuna post fulani humu ndugu wa huyo Linjenje wanasema wanaomba kujua mwili wa ndugu yao ulitupwa wapi ili wauzike kwa heshima, Sasa kama ni hawa kubadilishwa majina, vipi watu watake mwili?Ukifuatilia toka mwanzo Adamo alisema wanapobadilishwa vituo hulazimishwa na kupewa majina tofauti na majina yao halisi so unaweza kukuta huyo Moses lijenje ni katika mlolongo huo
soma pia hapa:Brings back Moses Lijenje campaign