Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?


Wakati mwingine muumba huwa na makusudi yake, aweza kukupiga upofu au kufungua macho ili kuona au kutoona ya sirini. Kila mmoja wetu anacho cha kujifunza nini kipo miongoni mwetu.
 
kwenye hii kesi mawakili wa Serikali wanahangaika sana, yaani ningekuwa mimi ni wakili wa Serikali ningemuomba Jaji tu hili shauri alimalize maana lipo wazi kabisa.

Maana maswali wanayouliza unaona kabisa wanahangaika kupata pointi ila kwa Jaji huyu inakuwa ngumu mno - na kizuri zaidi kesi ipo wazi hata usiyejua sheria unaona kabisa mzani umeshaegama.

Shahidi wa Pili jana kaupiga mwingi mno - ni kama kaindondosha kesi kwa 40% peke yake.
 
Wakati mwingine muumba huwa na makusudi yake, aweza kukupiga upofu au kufungua macho ili kuona au kutoona ya sirini. Kila mmoja wetu anacho cha kujifunza nini kipo miongoni mwetu.
watu wengi hawajui kwamba Muumba ni Roho... alikuwepo mtu hapa anatamba balaa, akapewa roho ngumu akaidharau Corona - ikapita naye.
 
Kingai na huyo Mahita, lazima ni miongoni mwa watu wasiojulikana. Hawa lazima walishiriki au wanafahamu waliotaka kumwua Lisu, walimpoteza Ben Saanane, Kanguye, yule diwani aliyeuawa Dar na kule Morogoro. Hawa wamo kwenye kundi la wauaji.

Mikono ya Kingai na mahita imejaa damu za watu wasio na hatia.
 
Kwa kuwa wewe ni Jaji sawa!
 
Afungwe kwa ushahidi gani?
 
Tangia walikuja kwangu kukagua sjui vinini saabu ya mume wangu wakaiba kasimu ka torch na viatu vya Mr hata sinaga imani na hao watu sjui nawaonaje! ( sio hao kwenye kesi ila ni polisi wenzao dah nlichoka)
Hii tasnia ina laana kuu ,ilipaswa kutenda haki lkn ndiyo wanaongoza kwa dhuluma
 
Hii nasadiki ,maana ile kuning'inizwa uchi km popo kwenye killing zone ni hatari
 
hii kesi itavurumua mengi.... ndugu wa Moses Lijenje wakisikia haya litakuwa jambo lingine jipya.
Bora wajitokeze wamdai ndugu yao.

Yaani kumbe polisi wanaweza wakaua tu hlf mwili wakautupa?

Hlf wanajigamba kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…