Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Hangaya alipohojiwa na kikeke alikiri hadharani kwamba mbowe ni gaidi Na alikimbilia Kenya kujificha na wenzake watatu walishakutwa na hatia na wapo gerezani kutumikia vifungo vyao,

Ajabu hiyo kesi sjui iliendeshwa kupitia mahakama ipi , labda ndio hiyo ambayo lijenje haonekani alipo alishatupwa
 
Kwani wewe walikufanyaje mpaka umshauri avae chupi ya chuma?


Pole na hongera maana naona ushakuwa mzoefu
 
Moses katajwa tena asubuhi hii... shuuli ni pevu sana hii.

Nashon: ni Kweli Kwamba Wakati Mkiwa mnaelekea Mbweni walikwambia watakupoteza.?

Shahidi: Afande Goodluck aliniambia Tutakupoteza Kama Moses Lijenje
Nakuapia hili jambo Litaleta mtifuano kati ya Police force na TPDF. Haiwezekani askari wa jeshi letu Waingie mikononi mwa polisi na kuteswa hadi wengine kufa badala ya kufikishwa katika mahakama za sheria?
Kwanza kama kulikuwa na ugaidi wangepelekwa court Marshall!
 
Kuna Uwezekano DCI alimshughulikia Urio kisha akamuunganisha Kingai Kumalizia Bila Kingai kujua kuwa informer kateswa mbaya mbovu.
 
kulikiwa na ka-kikundi ndani ya Police ambako kalikuwa na nguvu kubwa mno za kuteka, kutesa na hata kupoteza watu -- ka-kikundi haka kalipata baraka toka mwendazake
 
Hakika INAUMIZA SANA Watu Wanateswa ktk NCHI yao wengi bila Makosa
 
Kama vipi zipigwe.[emoji1]
 
Na ni ushindi mkubwa kwa washtakiwa hata kama watafungwa kimagumashi. Hatari sana hii!!!
hii kesi sasa ishakuwa an opened Pandora box, hata serikali ikisema haina nia na hii kesi haitasaidia kitu.
 
Kuna Uwezekano DCI alimshughulikia Urio kisha akamuunganisha Kingai Kumalizia Bila Kingai kujua kuwa informer kateswa mbaya mbovu.

Kumbuka Urio alionekana kuteswa pia Tazara, baada sana ya kuwa alishaunganishwa na Kingai.

Urio alishaunganishwa na Kingai kabla ya akina Ling'wenya kukamatwa.

Urio alionekana kwenye kuteswa na Ling'wenya Tazara baada ya kuwa alishakamatwa Moshi.

Kuna hatari Urio pia hatopatikana.

Tulipo ni genge la wauwaji linaloratibiwa na wanaojiita viongozi wetu aka viongozi wa wanyonge.
 
Tusaidiwe kumjua ataeleza mengi

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Sawa Jumanne, ila siku ukiwa unaulilia uhai wako siku izrael akikufikia utatamani kuyakana haya japo nafasi hutakuwa nayo tena. Mwenzako aliyekuwa anawatuma alikuwa na jeuri ya hii hii ila Muulize aliko kama ile nafasi ya kuongoza malaika aliikuta bado iko wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…