Moses Machali, bila kutumia busara za kiuongozi, anguko lako la kisiasa litatokea Bukoba. Samia anataka majadiliano, wewe umefunga maduka Wilaya nzima

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Moses Machali anafanya Siasa au uongozi wa kitoto kitoto. Viongozi hukaa na kusikilizana na kushauriana. Huyu anaenda kwa viongozi anaanza kuwatukana na kuwadharau, hajui humo ndani ndio Kuna kura za wananchi, wakiamua kukichafua, hiyo kagera ataiona ya moto

Huyu ni mabaki ya wale waliokuwa wananunuliwa na awamu Ile. Wamezoea kufanya ubabe kwa wafanyabiashara ili wapate chochote. Ni aina ya Sabaya, anatisha wafanyabiashara ili wampe chochote

Sioni mantiki ya kufunga maduka Bukoba nzima kisa madai ambayo kwa maelekezo ya Rais, anataka wafanyabiashara na Serikali wajadiliane.

Mkuu wa Wilaya kafikia hatua ya kumtukana Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya kwamba yeye si chochote serikalini na hawezi kumfanya lolote. Yaani unamtukana kiongozi mbele ya anaowaongoza? Kwanini usitumie vikao rasmi? Tunajua ulikuwa na mtu umepanga awe Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya, ndio anakutumia kumchafua huyu.

Anawatukana madiwani kwamba Wana cheap politics. Anaongea kwa dharau kubwa sana.

Haya ndio matunda ya kuokota majitu huko Chadema na kuyapa uongozi. Yamezoea kutukanana mitandaoni na uhuni uhuni tu. Hayana maadili ya uongozi.

Nashauri CCM Kagera iingie katika vita vya msituni dhidi ya Machali.

Machali, Machali, Machali, nimekuita mara tatu.... ngoja mkeka utoke
 

Hapa ndipo upumbavu wako ulipoonekana.
 
video
 
CCM wote nyie ni wajinga sn
 

CCM haitegemei kura kukaa madarakani. Tafuta vitisho vingine.
 
Huyo jamaa ana malezi mabaya na ana laana kwani aliwahi kumtandika makofi baba yake mzazi. Yule mwendakuzimu kwa vile alikuwa kichaa ndiyo maana alikuwa anachukuwa vichaa wenzake kuwapa vyeo.Na kuweka kumbukumbu sawa uyo kichaa hajawahi kuwa Chadema, alikuwa NCCR kisha kaenda kwa mkigoma mwenake ACT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…