Moses Machali Mkuu wa Wilaya Kigeugeu asiyetabilika, harakati zake za siasa zinaangalia upepo ulipovumia

Moses Machali Mkuu wa Wilaya Kigeugeu asiyetabilika, harakati zake za siasa zinaangalia upepo ulipovumia

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana JF

Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na serikali, walikuwa wakali wa hoja, waliaminika sana Kupita maelezo, ugonjwa wa usaliti ulioanzishwa na Dr. Kaburuu, akaja Kafulila, akaja Zitto na sasa Mosesi Machali itoshe tu kusema wameendekeza njaa zaidi na kuwatelekeza wapendwa wao katika duru la kisasa. Kwa sasa mkoa wa kigoma hauaminiki tena kutoa vijana machachari wenye weledi bali unadhalisha zaidi wapenda masilahi.

Kitendo cha Mosesi Machali kukumbatia fikira za mlevi mmoja aliyelevya kwa machozi na kuamka na matingasi na kusimama na kutamka kuwa chato Marehemu alisema ana ndoto iwe mkoa ni jambo lisilo la kistaarabu kwa kuwa wilaya hiyo haina hadhi mpaka ikope ardhi kwa mikoa mingine. Pia ni kuongeza mzigo serikali katika kutandaza tawala mbalimbali kukidhi mahitaji.

Juzi katika kikao cha kujadili Chato iwe mkoa amesikika akisema anaunga hoja iwe mkoa wakati wanajua akiwa tena jirani madhara yote yatokanayo na kadhia hii. Lalini anaongozwa na njaa baada ya kupingwa chini kwenye ubunge na inabidi Aunge juhudi, njaa hii ndio inmates mpaka sasa.
 
Mashambulizi yote haya kisa tu ametaka kuwe na mkoa wa Geita?
Geita tena, ebu ita ilo jina Jf uone njaa yake ilivyokali, aliwahi kumuhujumu mwenzake zito wakati kutetea upotevu wa 1.5 trion kwa mwendambingu
 
Chato haiwezi kuwa Mkoa, hizo zilikuwa ndoto mfu za kidikteta za Mwendazake, Jamaa alikuwa selfish sana, Geita na Kagera inatosha
 
Kwa wale mliozaliwa juzi; Dr. Amani Walid Kabourou (RIP) ni mfano halisi wa wanafiki wa nchi hii. Nendeni maktaba.
 
Ninapata shida kuamini uraia wake yule jamaa
 
Machali ni Mtu wa Kigoma , anajua hali halisi ya Ukubwa wa Mapori ya Kigoma

yupo sahihi. alafu wewe muhaya tulia imeisha hiyo
 
Tanzania wanasiasa wote hawaaminiki tu.....iwe CCM au upinzani.....NJAA ndio shida yao kuu..
 
Back
Top Bottom