Tetesi: Moses Phiri aandika barua kuondaka Msimbazi

Tetesi: Moses Phiri aandika barua kuondaka Msimbazi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Uongozi wa Simba SC umeridhia ombi la mchezaji wake Moses Phiri aliyeandika barua kuomba kuvunja mkataba ili aondoke zake. Siku chache huenda wakatangaza kuachana naye. Phiri alichukia kutoorodheshwa kwenye mchezo dhidi ya Wydad na Kocha Benchika.

(Credit- MwanaspotiTZ)
1703428900611.jpg
 
Simba ni kubwa kuliko Chama na huyo Phiri. Wakiondoka, mwekezaji wetu ataleta majembe hatari kutoka vilabu vikubwa kabisa Afrika kama Asec Mimosa, Mamelodi Sundowns, Young Africans, nk.
Ila tukifungwa ....tutaanza kuwahitaji tena
 
Uongozi wa Simba SC umeridhia ombi la mchezaji wake Moses Phiri aliyeandika barua kuomba kuvunja mkataba ili aondoke zake. Siku chache huenda wakatangaza kuachana naye. Phiri alichukia kutoorodheshwa kwenye mchezo dhidi ya Wydad na Kocha Benchika.

(Credit- MwanaspotiTZ)View attachment 2851670
Unawashwa?
 
Simba Kuna virusi wa yanga wanajifanya wachezaji hawana nidhamu, wengine wamevunia mikataba ili wawapeleke yanga.
 
Back
Top Bottom