Tetesi: Moses Phiri aandika barua kuondaka Msimbazi

Tetesi: Moses Phiri aandika barua kuondaka Msimbazi

Kitu ambacho watu wengi hawaelewi ni kwamba mkataba hauvunjwi kwa kuandika barua tu, mkataba unavunjika kwa kukiukwa kwa vipengele vya kimkataba au kwa kuweka hela mezani. Phiri hana muda mrefu Simba
 
Msuva na phiri wanaenda yanga
 

Attachments

  • 5655E1DE-DFF3-4073-BE15-6430D8D11876.jpeg
    5655E1DE-DFF3-4073-BE15-6430D8D11876.jpeg
    137.8 KB · Views: 1
Huko ndani ya Simba yamo mengi tu ambayo hayajawekwa hadharani, kunafukuta kabisa.

Zile [emoji2772] bado zinawauma mno
Tano ni nyingi aiseee...!!! Tano zinakupa kiwewe mpaka siku utakayorudisha..!!
 
Back
Top Bottom