Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu yangu siiamini tena kwenye kusajili. Si ajabu Papa Ndaw akarudi tena na kiatu chake kama kambale.Simba ni kubwa kuliko Chama na huyo Phiri. Wakiondoka, mwekezaji wetu ataleta majembe hatari kutoka vilabu vikubwa kabisa Afrika kama Asec Mimosa, Mamelodi Sundowns, Young Africans, nk.
Kila mchezaji mzuri anataka kucheza timu bora ya yanga.Anahusikaje hapa [emoji23][emoji23]
Tangu yanga ampige simba goli 5 Hali ya klabuni Kwao bado haijatulia kabisa ni mvuruganoTolea ufafauzi kidogo hapa .
Kabisaaa....bora Phiri kuliko KonkonPhiri karibu Yanga
hivi huyu mchezaji shida ni nini?Uongozi wa Simba SC umeridhia ombi la mchezaji wake Moses Phiri aliyeandika barua kuomba kuvunja mkataba ili aondoke zake. Siku chache huenda wakatangaza kuachana naye. Phiri alichukia kutoorodheshwa kwenye mchezo dhidi ya Wydad na Kocha Benchika.
(Credit- MwanaspotiTZ)View attachment 2851670