Ila tukifungwa ....tutaanza kuwahitaji tenaSimba ni kubwa kuliko Chama na huyo Phiri. Wakiondoka, mwekezaji wetu ataleta majembe hatari kutoka vilabu vikubwa kabisa Afrika kama Asec Mimosa, Mamelodi Sundowns, Young Africans, nk.
Unawashwa?Uongozi wa Simba SC umeridhia ombi la mchezaji wake Moses Phiri aliyeandika barua kuomba kuvunja mkataba ili aondoke zake. Siku chache huenda wakatangaza kuachana naye. Phiri alichukia kutoorodheshwa kwenye mchezo dhidi ya Wydad na Kocha Benchika.
(Credit- MwanaspotiTZ)View attachment 2851670