kama hujui kitu kas kimya huyu haeamtaki kwskuwa alifai malipo kamiliHali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.
Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.
Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.
#bringbackourgeneral
Na hakuna aliyesema phiri ni zaidi ya klabu,ila wanasema Phiri ni zaidi ya bocco na kibu overHakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Simba Sc, kelele za kwanini hachezi kwangu hazina maana yoyote, mwenye jukumu la kupanga timu ya ushindi ni kocha, na kocha ndie anakuwa responsible timu ikifanya vibaya..
Kama timu inafanya vizuri kocha kumlaumu kocha kwasababu yoyote ni uzuzu tu, kocha hapangiwi timu, hafundishwi kazi na yeyote, aachwe afabye kazi yake. Sio Phiri, sio Chama, sio yeyote, Simba Sc kwanza, ushindi muhimu zaidi.
Huyo moses phili ni mchezaji mpya ukimtoa moses phiri au mmi ndo sielewiHali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.
Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.
Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.
#bringbackourgeneral
Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.
Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.
Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.
#bringbackourgeneral
Nimekumbuka mabishano yetu kwenye scenario ya Chama got myself laugh kwasababu hata kwenye hili pia mtazamo wangu ni uleuleHakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Simba Sc, kelele za kwanini hachezi kwangu hazina maana yoyote, mwenye jukumu la kupanga timu ya ushindi ni kocha, na kocha ndie anakuwa responsible timu ikifanya vibaya..
Kama timu inafanya vizuri kocha kumlaumu kocha kwasababu yoyote ni uzuzu tu, kocha hapangiwi timu, hafundishwi kazi na yeyote, aachwe afabye kazi yake. Sio Phiri, sio Chama, sio yeyote, Simba Sc kwanza, ushindi muhimu zaidi.
ukweli kabisa, Kibu sio mchezaji professional, anajua sana kukimbia na ndio hicho huwa kinasaidia ila mpira hajui, hajui,hajuiiiii. uliona hata juzi, alivyoshindwa kutoa cross ukimtofautisha na chama alivyofanya? linacheza kama ndodo cup.Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.
Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.
Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.
#bringbackourgeneral
Ni Phiri sio Phili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.
Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.
Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.
#bringbackourgeneral
[emoji1787][emoji2956]Hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Simba Sc, kelele za kwanini hachezi kwangu hazina maana yoyote, mwenye jukumu la kupanga timu ya ushindi ni kocha, na kocha ndie anakuwa responsible timu ikifanya vibaya..
Kama timu inafanya vizuri kocha kumlaumu kocha kwasababu yoyote ni uzuzu tu, kocha hapangiwi timu, hafundishwi kazi na yeyote, aachwe afabye kazi yake. Sio Phiri, sio Chama, sio yeyote, Simba Sc kwanza, ushindi muhimu zaidi.
Nimependa namna ulivyoleta taarifa, haina unafiki, yaani umefanya just a reporting basiHali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.
Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.
Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.
#bringbackourgeneral
[emoji23]Ni Phiri sio Phili
Na kama ni kuandika, umeandika hasa. Full codeskama hujui kitu kas kimya huyu haeamtaki kwskuwa alifai malipo kamili