Moses Phiri achafua hali ya hewa, ahatarisha kibarua cha Robertinho

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji Moses Phiri na Uongozi na pamoja na Kocha.

Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.

Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.

#bringbackourgeneral
 
Hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Simba Sc, kelele za kwanini hachezi kwangu hazina maana yoyote, mwenye jukumu la kupanga timu ya ushindi ni kocha, na kocha ndie anakuwa responsible timu ikifanya vibaya..

Kama timu inafanya vizuri kocha kumlaumu kocha kwasababu yoyote ni uzuzu tu, kocha hapangiwi timu, hafundishwi kazi na yeyote, aachwe afabye kazi yake. Sio Phiri, sio Chama, sio yeyote, Simba Sc kwanza, ushindi muhimu zaidi.
 
Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.

kama hujui kitu kas kimya huyu haeamtaki kwskuwa alifai malipo kamili
 
Hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Simba Sc, kelele za kwanini hachezi kwangu hazina maana yoyote, mwenye jukumu la kupanga timu ya ushindi ni kocha, na kocha ndie anakuwa responsible timu ikifanya vibaya..

Kama timu inafanya vizuri kocha kumlaumu kocha kwasababu yoyote ni uzuzu tu, kocha hapangiwi timu, hafundishwi kazi na yeyote, aachwe afabye kazi yake. Sio Phiri, sio Chama, sio yeyote, Simba Sc kwanza, ushindi muhimu zaidi.
Na hakuna aliyesema phiri ni zaidi ya klabu,ila wanasema Phiri ni zaidi ya bocco na kibu over
 
Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.

Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.

Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.

#bringbackourgeneral
Huyo moses phili ni mchezaji mpya ukimtoa moses phiri au mmi ndo sielewi
 
Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.

Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.

Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.

#bringbackourgeneral

Ujinga kweli, kocha ni nani? Yeye si ndo Mwalimu anajua afanyaje, au mnafikiri wana ugomvi wa kugombea mwanamke? Kila kitu kona kiongozi
 
Hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Simba Sc, kelele za kwanini hachezi kwangu hazina maana yoyote, mwenye jukumu la kupanga timu ya ushindi ni kocha, na kocha ndie anakuwa responsible timu ikifanya vibaya..

Kama timu inafanya vizuri kocha kumlaumu kocha kwasababu yoyote ni uzuzu tu, kocha hapangiwi timu, hafundishwi kazi na yeyote, aachwe afabye kazi yake. Sio Phiri, sio Chama, sio yeyote, Simba Sc kwanza, ushindi muhimu zaidi.
Nimekumbuka mabishano yetu kwenye scenario ya Chama got myself laugh kwasababu hata kwenye hili pia mtazamo wangu ni uleule
 
Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.

Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.

Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.

#bringbackourgeneral
ukweli kabisa, Kibu sio mchezaji professional, anajua sana kukimbia na ndio hicho huwa kinasaidia ila mpira hajui, hajui,hajuiiiii. uliona hata juzi, alivyoshindwa kutoa cross ukimtofautisha na chama alivyofanya? linacheza kama ndodo cup.
 
Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.

Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.

Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.

#bringbackourgeneral
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Baadhi ya mashabiki wako kama watoto wadogo wanaotaka KUPAKULIWA chakula kabla hakijaiva jikoni....

Msimu ndio unakaribia kuanza....hakuna hata mechi 1 ya ligi wala ya michuano ya kimatifa iliyochezwa....eti leo KOCHA anangwe kwa kutompanga PHIRI katika mechi ya "sikukuu" ambayo akina ONANA walikuwa wanaburudisha na kucheza na majukwaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jioni hii ngojea nikajinywee zangu SHENGENA(wanzuki)[emoji1787]
 
Hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Simba Sc, kelele za kwanini hachezi kwangu hazina maana yoyote, mwenye jukumu la kupanga timu ya ushindi ni kocha, na kocha ndie anakuwa responsible timu ikifanya vibaya..

Kama timu inafanya vizuri kocha kumlaumu kocha kwasababu yoyote ni uzuzu tu, kocha hapangiwi timu, hafundishwi kazi na yeyote, aachwe afabye kazi yake. Sio Phiri, sio Chama, sio yeyote, Simba Sc kwanza, ushindi muhimu zaidi.
[emoji1787][emoji2956]
 
Kocha ndio boss wa timu,waambie hao mashabiki njaa watulie tu,mambo ya kumpangia kocha kikosi ni ufwala
 
Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji MosesPhiri na Uongozi na pamoja na Kocha.

Mashabiki wanadai Phiri hawezi kuwekwa benchi na Kibu Mkandaji au Bocco captain fantastic. Hali hii imepelekea kuanza kwa vuguvugu la chinichini katika mitandao ya kijamii nchini, huku asilimia kubwa ya mashabiki wakitaka kocha na uongozi utolee maelezo suala hilo. Kama vipi basi wamuache wasiue kipaji cha mchezaji ambaye alisaidia sana timu msimu ulioisha.

Wengine wakienda mbali zaidi wakitaka kocha aondoke.

#bringbackourgeneral
Nimependa namna ulivyoleta taarifa, haina unafiki, yaani umefanya just a reporting basi
 
Back
Top Bottom