Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Eeh safi hii fundisho kwa wale wazazi wanaoendelea na ule msemo wa "hizi zangu katafute zako"

Kuna kaukweli ktk comment hii, jamii zingine mtoto akifikisha miaka 18 taratibu anapewa sehemu ya Mali na wazazi wake ajifunze kuitumia na kuiongeza huku wazazi wakiendelea kumsimamia kuona anafanya vizuri na pale anapofanya makosa basi wazazi huendelea kumuongoza mpaka ajisimamie mwenyewe.

Mali hizo zaweza kuwa ardhi, mashamba, mifugo, biashara n.k na wazazi wengine wa jamii zingine hufurahia kuwaongoza watoto wake mpaka wapate mafanikio kupitia Mali walizochuma wao wazazi.

Sisi waswahili hasa wa mijini hatuna utamaduni wa 'ushirikishaji' wa watoto mapema ili wajue ABC ya utunzaji Mali na kuzikuza kama jamii zingine za waasia, waarabu au wale wa mashambani walio wafugaji na wavuvi ambao huona fahari kuwasimamia watoto wao wajue fani mapema kabisa.
 
Waganga wa Kienyeji toka Tanga na mwingine Dar watuhumiwa kushiriki, wanasaidia Polisi ktk uchunguzi

Watuhumiwa 3 wanashikiliwa, mmoja ni wa kike na wawili ni waganga wa kienyeji ambao ni wanaume

 
Daaaaah binti anaonekana Wife Material kabsa ukikutana nae road unaapa viapo vyote kua lazima awe wako na kujuta majuto yote hadi kujikana nafsi endapo hutamweka kwenye himaya yako, moyo wa mtu ni kichaka na maisha yana siri nyingi sana [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
Wife material kwa kutizama picha au kumuona barabarani? Duh!
 
Yaani ukisoma comments nyingi za wachaga humu, wanajitahid kujustify hiki kitendo, mara sijui wazazi wachoyo , mara hio ni kawaida, mara sijui mbna inatokeaga na kwa wngine.. yaani hadi naogopaa, ..like serious ,kwamba kwa kua wengine wanafanya basi ni sawa huyo kufanya(kuua), Huyo anastahili kunyongwa kabisa!, Shame..!
 
Kuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?
 
Ukabila gani wakati ni kawaida mkuu. Sasa huyu kaua mamaye wa kumzaa atashindwa kuua mmewe ambaye Hana undugu naye Kama yule wa dumila kuwa huyo fala mmeshamaliza ama yule mkikuyu aliyemuua mholanzi akamuweka kwa shimo Cha choo jumlisha huyu dogo Arusha aliyeua mamaye akamchimbia kwa septic tank.
Sema unataka uonekane wako watakatifu Sana .
Yaani ndugu yangu akioa Kilimanjaro nitapambana Sana mpaka asioe yaani nitatishia mpaka kujiua
Ndugu yako yupi?..kama unamzungumzia musa we muache aoe tu sasa hivi anakaribia kugonga forty na hana mwana hata wa kusingiziwa
 
Back
Top Bottom