Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Kuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?
Halafu akina mama wengi wabinafsi balaa sijui kwa nini?
 
Hivi ikatokea mfungwa wa kike akapata mimba huwa inakiwaje ?
Mwaka 2017 nilienda kuwatembelea wafungwa wa kike pale gereza la karanga mjini moshi..aisee niliona wanawake wazuriii ...nilimuhoji mmojawapo akaniambia alikamatwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa KIA...aisee yule mwanamke alikuwa mzuri balaa nahisi kwa sasa atakuwa na mtoto mle ndani...
 
Kuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?
Daah! Aisee.. kwa hio ni sawa kumuua mama yako kisa anakwambia hivo.. Dunia imekwisha
 
Hayo yote kwanza ni wajibunwa mzazi usianze kusemankuwa ni fadhila. Wee unaleta mtoto duniani hujui kuwa ni jukumu lako kumlea mpaka awe mkubwa na anajitegemea?

Tena as a matter of fact mpaka mtoto anafikia hatua ya kukuua mzazi means wewe kama mzazi ulishindwa kumlea vizuri huyo mwanao.

Nakwambia hivi nikiwa na background ya criminal psychology, mtoto mpaka kifikia kumua mzazi kuna sehemu mzazi alishindwa majukumu yake kama mzazi.

Dunia ina wazazi wakipuuzi sana ambao hawakustahili kuwa wazazi to begin with.
Inafaa ukae chini na uombe msamaha kwa Mungu wako aliye mbinguni. Kama ni muislamu basi sema Astaghfirullah mara mia moja, kama ni mkristo utajua vya kusema.

Hiyo criminal psychology yako haijakupa uzoefu wa kutosha kuhusu facts of life. Tumeona watoto wamelelewa na wazazi wema kabisa lakini wao baadae wakaanza na madawa ya kulevya na kadhalika na wakaishia pabaya sana.
 
Kuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?
Ndiyo shida yenu nyinyi muliolelewa kwa chupa na kubembelezwa. Baada ya kukufanya utafakari maneno ya mama kuwa anakutanabahisha kwamba ujitayarishe na maisha usisubiri mirathi, ati wewe ndiyo unaona anakujengea chuki.
 
Inafaa ukae chini na uombe msamaha kwa Mungu wako aliye mbinguni. Kama ni muislamu basi sema Astaghfirullah mara mia moja, kama ni mkristo utajua vya kusema.

Hiyo criminal psychology yako haijakupa uzoefu wa kutosha kuhusu facts of life. Tumeona watoto wamelelewa na wazazi wema kabisa lakini wao baadae wakaanza na madawa ya kulevya na kadhalika na wakaishia pabaya sana.
Nenda nyuma kwenye historia ya hiyo familia utagundua kuwa mzazi kuna uzembe ambao alileta ndio maana mtoto akai gia kwenye madawa ya kulevya.

Ukitaka kujua kuwa wazazi wengi ndio chanzo angalia tuu upuuzi huu wa kushabikia mtoto wa kike akipata mimba azae alafu arudi tena shule. Huyu akipigwa mimba tena utasema ni kosa lake au ni kosa la mzazi?

Mtumia madawa hawi addict siku moja ni kwamba mzazi alipuuza sehemu ndio inafika mpaka huko. Unakuta mzazi anaambiwa mtoto wake kakamatwa na bangi...wee mzazi unakuwa wa kwanza kwenda kumtoa. Mwache kwanza apate joto la jiwe huko ajifunze.
 
Utafutaji ni kipaji na akili ya kusimamia kile unachokipata.
Hata kama umedhulumu shs 100,000,000/=, hata ufanye miradi gani, utaishia patupu.
Hata siku moja huwezi ukalazimisha uwe na kipaji cha uchezaji mpira kama Morison, never!
 
Hata Donald Trump alipewa hela na dingi yake Dola milioni mbili aanze biashara japo ulikuwa mkopo usio na riba wala muda maalum wa kulipa.
Kabisa yaan ,unaona mwanao kakua,yupo yupo tuu,licha ya kuwa na elimu.Kwanini usimpe mtaji, wa kusimama kiuchumi ?Kama uwezo upo....

Hawa waache wauliwe hivyo hivyo, pengine watashituka ,kwamba elimu ni basic need tuu, na urithi ni lazima kwa watoto wao.
 
Wasaka mali katika ubora wao👇

Screenshot_20220110-211540.png
 
Watoe urithiii??
Kwani wapi panaposema mali za wazazi lazima wapewe watoto.
ndiyo maana wengine wanapeleka wakf.
Sikia ,unategemea nani kwa mfano ampatie mwanao ajira?Kama uwezo upo, toa kidogo mwanao asimame kiuchumi.

Kama una daladala 5 ,ukimpatia moja mwanao hata kwa mkopo, kwamba baada ya muda fulani ,awe amepata lake kupitia hilo basi moja.utapungukiwa nini?Kama ni msoaji wa bibilia, utapata sikia kisa cha mwanampotevu.

Elimu ni basic need na siyo urithi,kama mnavyo chukulia....
 
Tunasmbiwa huwa wanaenda kwao kila mwisho wa mwaka kuhesabiwa na kufanya matambiko. Je haya ndiyo matokeo ya sensa hizo na matambiko haya? Mrejeeni Mungu apate kuisafisha ardhi yenu haya mambo yanaanza kututis mashaka sisi wengine. Mali hazipatikani kwa kuwachinja wazazi.
 
Mi nimesoma na kuishi na wahindi, hampi mwanae hela ya urithi akiwa hai..atamfundisha kazi tu na kumpa connections..hii mitoto yetu (baadhi) hata ukiipa kazi itaharibu tu...starehe na showoffs nyingi
Bora hata akupigie pasi ya kazi au akufundishe biashara.Kwetu wabongo ni shidah mno,akikupatia elimu anakutelekeza mazima.

Mfano mimi mzee wangu ni Mkurugenzi mkoa fulani,mali na connection anazo, ila as long as kakusomesha utajua mwenyewe...
 
Sikia ,unategemea nani kwa mfano ampatie mwanao ajira?Kama uwezo upo, toa kidogo mwanao asimame kiuchumi.

Kama una daladala 5 ,ukimpatia moja mwanao hata kwa mkopo, kwamba baada ya muda fulani ,awe amepata lake kupitia hilo basi moja.utapungukiwa nini?Kama ni msoaji wa bibilia, utapata sikia kisa cha mwanampotevu.

Elimu ni basic need na siyo urithi,kama mnavyo chukulia....

Mkulu nikwambie maarifa. Hata ukiwa na mali nyingi kiasi gani!! Usije ukajifanya una mahaba na watoto, eti ukaanza kutaja ile nyumba ni yako, lile shamba la kwako nk. Usije ukafanya hivyo. Mitoto inaanza ku relux na kuanza kuzembea kimaisha.
 
Kuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?

Kuna baadhi ya wamama wana ubinafsi sana.

Mimi mama yangu alikuwa ana appartments kibao. Na akastaafu akapata mafao mazuri tu. Ila hatoi mtaji kwa yeyote. Yeye anapenda kutegemewa tu siku zote na sifa. Kanisani sadaka anatoa mamilioni ila wewe mwanae ama ndugu akikupa pesa ni kidogo ya kula tu sio mtaji na lazima iwe na matangazo kwa ndugu wengine wote.
 
Back
Top Bottom