Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Halafu akina mama wengi wabinafsi balaa sijui kwa nini?Kuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?