Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Nyinyi mmezidi kupenda pesa kuliko utu... ni kabila lipi lisilo na wauwaji? Kabila lako hajawahi kuuwawa mtu? Hivi hizi akili huwa mnazitoaga wapi?
Eeh safi hii fundisho kwa wale wazazi wanaoendelea na ule msemo wa "hizi zangu katafute zako"
Usilazmishe kabila kwa kutumia jina mkuu..Jina la mwisho binti ni Mrema
Mrema ni wasuku ...ma au
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
"Ninyi"? Hunifahamu ndugu! Inawezakana asili yangu ni huku; Mtoto amuua mama yake mzazi kisa mali - 2 Eyez Media
hahahahaha atakuwa shayo tu!Bwana ake shayo au massawe itakuwa alimsaidia
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Mtasema tunawaonea wachaga
Kabila lenu wauaji... ni kabila lipi lisilo na wauwaji? Kabila lako hajawahi kuuwawa mtu? Hivi hizi akili huwa mnazitoaga wapi?
Wife material kwa kutizama picha au kumuona barabarani? Duh!Daaaaah binti anaonekana Wife Material kabsa ukikutana nae road unaapa viapo vyote kua lazima awe wako na kujuta majuto yote hadi kujikana nafsi endapo hutamweka kwenye himaya yako, moyo wa mtu ni kichaka na maisha yana siri nyingi sana [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
Kabila langu unalijua wewe au unaropoka? Hao wachaga wamekuulia ndugu zako? Au wameua bibi vizee wa ukoo wenu? Au wamewachuna ngozi wajomba zako? Poor thinking and high level of stupidity.Kabila lenu wauaji
Kaa kwa kutulia
Ukiwa naakili kubwa hio comment yajamaa utaielewaWe umeandika nini
Pombe tunakunywa wengine kulewa mnalewa wengine
Ova
Wengi wanaowaua wazazi wao ni kwa sabab wamekosa waume wa kuwaua..wapi single..UTAFIKIRI MAUAJI HAYA YAMEANZA LEO WAKATI YAKO ENZI NA ENZI.
KUTOKA KUUA WAUME/WAKE ZAO MPAKA KUUA WAZAZI WAO, NI HATUA KUBWA NA NZURI.
La tamaa ya pesaKina Dada wa moshi Wana pepo GANI ?
Itakuwa tu [emoji1787]hahahahaha atakuwa shayo tu!
Ndugu yako yupi?..kama unamzungumzia musa we muache aoe tu sasa hivi anakaribia kugonga forty na hana mwana hata wa kusingiziwaUkabila gani wakati ni kawaida mkuu. Sasa huyu kaua mamaye wa kumzaa atashindwa kuua mmewe ambaye Hana undugu naye Kama yule wa dumila kuwa huyo fala mmeshamaliza ama yule mkikuyu aliyemuua mholanzi akamuweka kwa shimo Cha choo jumlisha huyu dogo Arusha aliyeua mamaye akamchimbia kwa septic tank.
Sema unataka uonekane wako watakatifu Sana .
Yaani ndugu yangu akioa Kilimanjaro nitapambana Sana mpaka asioe yaani nitatishia mpaka kujiua